Sehemu iliyokuwa imegeuzwa dampo hatari Githurai 44 yaokolewa

Na SAMMY WAWERU HATIMAYE eneo lililokuwa limegeuzwa dampo mtaani Githurai 44 katika Kaunti ya Nairobi kwa muda mrefu limetwaliwa...

SHINA LA UHAI: Corona si hatari tu kwa afya bali pia mazingira

Na LEONARD ONYANGO VIDEO ya mwanaume aliyeonekana akisafisha barakoa/maski zilizotumika iliwatia hofu Wakenya ilipochipuza katika...

Ripoti ya UNDP yaonyesha idadi ya vifo vinavyosababishwa na uchafuzi mazingira viko juu Kenya

Na MAGDALENE WANJA KENYA inakumbwa na athari mbaya za uchafuzi wa mazingira ambapo watu 165 wanafariki kila siku kutokana na hali...

TAHARIRI: Serikali ishughulikie ripoti ya uchafuzi

NA MHARIRI RIPOTI ya uchunguzi uliofanywa na Taifa Leo kuhusu uharibifu wa mazingira yafaa kuchunguzwa kwa makini na wadau, ili suluhu...

KILIMO NA MAZINGIRA: Uchafuzi wa Mto Athi nusra uzime ndoto za mkulima

Na SAMMY WAWERU MEI 2019 kituo kimoja cha runinga kwenye makala ukilifichua uchafuzi wa mazingira Nairobi unavyoathiri Nairobi River,...

Uchafuzi wa mazingira Githurai

Na SAMMY WAWERU MARUFUKU ya matumizi ya mifuko ya plastiki yaliyoanza kutekelezwa mwaka 2017 yalipokelewa kwa hisia tofauti, baadhi ya...

Etihad yajizatiti kupunguza hewa chafu

Na BERNARDINE MUTANU Shirika la Ndege la Etihad lilifanikiwa kudhibiti tani 195,000 za hewa chafu mwaka wa 2017. Hii ni baada ya kuzindua...