Mutharika kwenye mtihani Malawi ikichagua Rais

NA MASHIRIKA WAPIGAKURA nchini Malawi Jumanne wanatarajiwa kuingia debeni na kumchagua Rais mpya huku ushindani mkali ukitarajiwa kati...

Sababu za chaguzi nchini Kenya kuwa ghali

Na CHARLES WASONGA CHAGUZI nchini Kenya hugharimu pesa nyingi ikilinganishwa na mataifa jirani kwa sababu ya tabia ya Wakenya ya...

KANU na Jubilee, nani jogoo uchaguzi mdogo Wajir?

Na GRACE GITAU na JOSEPH WANGUI VYAMA vya KANU na Jubilee vinatarajiwa kupambana katika uchaguzi mdogo wa ubunge unaofanyika Alhamisi...

IEBC yatuma wawakilishi katika uchaguzi wa wanachuo wa Egerton

NA RICHARD MAOSI Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Egerton, Jumanne walishiriki katika shughuli ya kuchagua viongozi wao katika bewa kuu eneo...

ODM kutolewa pumzi ishara ya kufifia kwa ‘Baba’

CHARLES WASONGA na BENSON MATHEKA LICHA ya kujipiga kifua na kujigamba kuwa ingetwaa ushindi mkubwa katika uchaguzi mdogo wa maeneobunge...

Embakasi na Ugenya tayari kuchagua Wabunge wapya

NA CECIL ODONGO WAPIGAKURA katika maeneobunge ya Embakasi Kusini na Ugenya Ijumaa wanatarajiwa kumiminika katika vituo mbalimbali vya...

Uchaguzi: ODM na Wiper tayari kumenyana Embakasi

RUSHDIE OUDIA na WANDERI KAMAU WAPIGAKURA katika maeneobunge ya Embakasi Kusini na Ugenya watawachagua wabunge wapya Ijumaa kwenye...

TAHARIRI: Raia wachague viongozi wanaofaa

NA MHARIRI UCHAGUZI mdogo katika maeneo ya Ugenya na Embakasi Kusini utafanyika kesho ambapo wapiga kura maeneo hayo wanatarajiwa...

DEMOKRASIA: Wamiliki wa tuktuk waifunza IEBC jinsi ya kusimamia uchaguzi

Na SAMMY WAWERU KATIKA kila mwaka wa uchaguzi mkuu nchini Kenya, tumeshuhudia mizozo ya hapa na pale huku Tume Huru ya Uchaguzi na...

MIGORI: Ayacko kutolewa jasho na limbukeni wa miaka 27 ni ishara kuwa Raila ameisha makali

Na CHARLES WASONGA JAPO ilitarajiwa kuwa mgombeaji wa chama cha ODM Ochilo Ayacko angeibuka mshindi katika uchaguzi mdogo wa useneta wa...

UCHAGUZI MIGORI: Obado ampa Raila wasiwasi

Na WAANDISHI WETU GAVANA Okoth Obado wa Migori amemtia wasiwasi kiongozi wa ODM Raila Odinga licha ya kuwa korokoroni kwa uwezekano wa...

Hitilafu za vifaa kwenye uchaguzi mdogo Baringo Kusini

Na PETER MBURU SHUGHULI za uchaguzi mdogo wa eneobunge la Baringo Kusini zilianza Ijumaa alfajiri, huku visa vya baadhi ya vifaa vya...