DOUGLAS MUTUA: Uchina isipime corona kwa njia ya kudhalilisha

Na DOUGLAS MUTUA UCHINA, taifa ambako janga la corona lilianzia, limezuka na mengine! Watu mitandaoni wamechukizwa mno; wanasema ugumu...

Magufuli ampongeza waziri wa China kwa kutovaa maski

NA MASHIRIKA RAIS John Magufuli wa Tanzania amempongeza waziri kutoka China aliye ziarani nchini humo kwa kutovaa barakoa, akidai hilo...

China ilivyomfunga Uhuru mdomo

PAUL WAFULA Na VINCENT ACHUKA CHINA ilizuia Rais Uhuru Kenyatta kutangazia Wakenya yaliyomo kwenye kandarasi ya ujenzi wa reli ya SGR...

AKILIMALI: Arejea nchini kutoka China kufunza vijana jinsi ya kushona mavazi na mapambo

NA RICHARD MAOSI rmaosi@ke.nationmedia.com Maonyesho ya mapambo na nguo za kiasili ni kazi za mikono ,zinazohitaji ubunifu wa aina...

Ghasia zachacha Hong Kong ikipinga utawala wa China

NA AFP GHASIA zinaendelea kushuhudiwa mjini Hong Kong baada ya raia kupinga vikali udhibiti wa eneo hilo na serikali kuu ya China yenye...

Ukoloni wa China nchini wanukia

BENSON MATHEKA Na KAMAU WANDERI KENYA imo kwenye hatari ya kuwa chini ya ukoloni wa China ikiwa haitachukua hatua za kuepuka madeni na...

Wachina wavamia Gikomba, Nyamakima na Kamukunji kuuza mitumba

Na EDWIN OKOTH WAKENYA Jumatatu walipokea kwa ghadhabu habari za Wachina kuvamia masoko ya Gikomba, Nyamakima na Kamukunji jijini...

Ruto awaonya Wachina wakora wanaovunja sheria Kenya

CAROLYNE AGOSA NA DPPS NAIBU Rais Dkt William Ruto ameonya raia wa Uchina humu nchini kuwa ni lazima wafuate sheria za Kenya ili...

Uchina yajitetea tena kuhusu madai ya kutwaa bandari ya Mombasa

Na BERNARDINE MUTANU UCHINA imekana tena madai kuwa imesababisha baadhi ya mataifa kuwa na deni kwa lengo la kutwaa mali...

China yatetea idadi kubwa ya kampuni zake nchini Kenya

Na PETER MBURU CHINA imejitetea kuhusu hali ya kampuni zake kumiminika humu nchini, ikisema zinakuja kutafuta watu wa kuajiri kwa kuwa...

Kenya tayari kukopa tena Sh370 bilioni kutoka Uchina

 ANITA CHEPKOECH Na BENSON MATHEKA Serikali inajiandaa kukopa zaidi ya Sh370 bilioni kutoka China za kujenga awamu ya tatu ya reli ya...

Mjadala bungeni kuhusu mayai milioni 33 kutoka Uchina

Na PETER MBURU UFICHUZI wa Wizara ya Kilimo kuwa kampuni za ujenzi za Uchina zinaingiza nchini mamilioni ya mayai, Alhamisi ulizua...