AKILIMALI: Usanii wake wa kutumia penseli umemjengea jina

Na SAMMY WAWERU PAXSON Mambo, mwenye umri wa miaka 20, anaendelea kupalilia kipaji chake katika uchoraji na ambacho kinampatia kila...

Azidi kumiminiwa sifa kwa kutumia talanta yake katika michoro kusaidia nyanya kupata haki

Na SAMMY WAWERU MCHORAJI mmoja nchini ameendelea kumimiwa sifa chungu nzima kwa kutumia kipaji chake katika uchoraji kusaidia nyanya...

BONGO LA BIASHARA: Jinsi video, picha zilivyomsukuma kuingilia uchoraji

Na SAMMY WAWERU MAPEMA Januari 2021, video ya Jane Nyambura aliyelalamikia kuhujumiwa na kampuni moja ya Kichina iliyopewa zabuni...

Mchoraji kwa zaidi ya miaka 30, ubunifu wa kipekee umempa riziki ya maana

Na DIANA MUTHEU “Nikiwa darasa la kwanza, mimi ndiye nilikuwa mchoraji bora wa magari shuleni kwetu,” George Karanja Mwenja, 56,...

Kazi ya uchoraji yamwezesha kupata hela kipindi hiki cha janga la Covid-19

Na SAMMY WAWERU KIJANA Edward Gikaria ana mengi ya kujivunia katika ulingo wa sanaa, hususan uchoraji wa picha katika karatasi na kuta...

Uchoraji riziki tosha kwake

Na PETER CHANGTOEK AMEKUWA akishughulika na shughuli ya uchoraji kwa muda wa mwongo mmoja sasa. Licha ya kuishi karibu na mtaa wa...

COVID-19: Mwanadada atia fora Mombasa katika maandishi na uchoraji kuhamasisha jamii

Na FARHIYA HUSSEIN KAUNTI ya Mombasa imeanzisha mbinu ya kutumia sanaa za maonyesho kutoa hamasisho jinsi ambavyo wenyeji na wakazi...

UCHORAJI: Kijana Sifuma amebobea katika sanaa za maonyesho

Na MAGDALENE WANJA KEVIN Sifuma, 26, ni msanii wa uchoraji wa kazi za sanaa za maonyesho yaani visual arts. Anasema anategemea sana...

AKILIMALI: ‘Ninaunda maelfu kutokana na uchoraji’

NA MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com Bw Robert Chumbi, 28 huvutia wapita njia na picha alizochora. "Kama msanii, moja ya njia...

AKILIMALI: Alijitengenezea jina kwa uchoraji wake stadi wa maduka ya M-Pesa

Na STEPHEN ODANGA KWA kawaida mchoraji huchukuliwa tu kama mtu wa kazi za mikono lakini ukweli ni kwamba pia yeye huwa ni...

BONGO LA BIASHARA: Sura mpya ya uchoraji na jinsi vijana wanavyofaidi

Na RICHARD MAOSI SANAA ya uchoraji katika jumuiya ya Afrika Mashariki inaendelea kupata taswira mpya, kutokana na idadi kubwa ya vijana...

ZAC ABDALLAH: Kipaji cha kipekee cha uchoraji

Na PAULINE ONGAJI Kilichoanza kama jambo la kupitisha muda utotoni, sasa kimegeuka na kuwa kipaji na taaluma ambayo inampa riziki ya kila...