UDA kufanya uchaguzi wa mashinani Oktoba – Muthama

  Na ONYANGO K’ONYANGO CHAMA cha United Democratic Alliance (UDA), kinachohushwa na Naibu Rais William Ruto, kitafanya...

Jumwa akwamilia UDA, adai Ruto ataingia Ikulu 2022

Na VALENTINE OBARA VIGOGO wa kisiasa ambao wangependa kumvuta Mbunge wa Malindi, Bi Aisha Jumwa upande wao kutoka kwa kikosi cha Naibu...

Wanachama 500 wagura UDA na kurejea ODM

KNA na CHARLES WASONGA ZAIDI ya wanachama 500 wa chama cha United Democratic Alliance (UDA) katika eneobunge la Karachuonyo wamehamia...

Muthama atoa masharti makali kabla ya kuridhiana na Kalonzo

Na PIUS MAUNDU MWENYEKITI wa chama cha UDA, Bw Johnston Muthama ameweka masharti makali kabla ya kushirikiana tena kisiasa na kinara wa...

Ruto sasa aingia vijijini akilenga kuvumisha UDA

Na ERIC MATARA NAIBU Rais William Ruto amejitokeza wazi na kuanza kuvumisha chama cha United Democratic Alliance (UDA) vijijini kote...

Wilbaro yazoa ufuasi Nyanza na Magharibi

Na DERICK LUVEGA CHAMA cha UDA kinachohusishwa na Naibu Rais, Dkt William Ruto jana kiliandaa mkutano na wanachama wake waliojisajili...

Jubilee yapiga kampeni kali za kupangua UDA uchaguzini Rurii

Na WAIKWA MAINA KUNDI la wanasiasa wa Jubilee wikendi waliendeleza mpango wa kudhoofisha ushawishi wa chama cha United Democratic...

UDA yapinga talaka

Na CHARLES WASONGA CHAMA cha United Democratic Alliance (UDA) kinachohusishwa na Naibu Rais William Ruto, kimepinga uamuzi wa Jubilee...

Jubilee kuvunja uhusiano na PDR ambacho sasa ni UDA

Na CHARLES WASONGA CHAMA cha Jubilee sasa kinapania kuvunja uhusiano wake na chama cha Party of Reforms and Development (PDR)...

Dkt Ruto adokeza uwezekano wa kuungana na Raila katika uwaniaji 2022

Na MWANGI MUIRURI NAIBU Rais Dkt William Ruto ametangaza Alhamisi kuwa kuna uwezekano wa yeye kuungana kisiasa na kiongozi wa ODM Bw...

Chama cha Ruto chaaibishwa uchaguzini Machakos

Na PIUS MAUNDU USHINDI wa Bi Agnes Kavindu Muthama kwenye uchaguzi wa useneta, Machakos Ijumaa umechukuliwa na wafuasi wa chama cha...

UDA yaelekeza macho yake 2022 baada ya London

ERIC MATARA na CHARLES WANYORO WANDANI wa Naibu Rais William Ruto katika eneo la Bonde la Ufa sasa wanaamini kwamba chama cha UDA ndicho...