UDAKU: Essien na mkewe Akosua Puni wamerejesha tena mahaba

IMEKUSANYWA NA CHRIS ADUNGO MWANASOKA wa zamani wa Chelsea na timu ya taifa ya Ghana, Michael Essien, 39, hatimaye amerudiana na mkewe...

UDAKU: Ya Balotelli na Messina yatibuka!

IMEKUSANYWA NA CHRIS ADUNGO HARUSI iliyokuwa ifanyike mwezi huu kati ya mshambuliaji wa zamani wa Manchester City na Liverpool, Mario...

UDAKU: CR7 amfunga Georgina hat-trick safi ya mapenzi

Na CHRIS ADUNGO SUPASTAA wa Manchester United, Cristiano Ronaldo, na mchumba wake Georgina Rodriguez sasa wanatarajia watoto pacha...

UDAKU: Binti wa Guardiola abaki kwa mataa Dele Alli akirukia kipusa Nicole

Na CHRIS ADUNGO KIUNGO mvamizi wa Tottenham Hotspur, Dele Alli, sasa ameanza kumtambalia kimapenzi mwanahabari maarufu wa Chelsea TV,...

UDAKU: Jicho kali la nje laponza kocha mwenye tamaa ya fisi

Na CHRIS ADUNGO IMEFICHUKA kwamba jicho kali la nje ndicho kiini cha kocha Paul Riley kupoteza posho aliyokuwa akipokezwa na klabu ya...

UDAKU: Ma’ Rashford mbioni kupatanisha mwanawe na mrembo Lucia Loi

Na CHRIS ADUNGO MSHAMBULIAJI mahiri wa Manchester United, Marcus Rashford, yu mbioni kurudiana na mchumba wake wa tangu utotoni, Lucia...

UDAKU: Usicheze na Georgina, mapambo yake pekee ni bei ya Toyota Prado mbili!

Na CHRIS ADUNGO MWANAMITINDO Georgina Rodriguez, 27, ana kila sababu ya kuonea fahari uhusiano wake wa kimapenzi na Cristiano Ronaldo...

UDAKU: Huyu Neymar hapoi, amedakia Bruna kabla Natalia kupiga baibai

Na CHRIS ADUNGO FOWADI matata wa Paris Saint-Germain (PSG), Neymar Jr, ameanza kumumunya mwanamitindo maarufu wa Brazil, Bruna...

UDAKU: Dele Alli si mchache! Ameingiza boksi binti wa kocha Guardiola

Na CHRIS ADUNGO MIEZI miwili baada ya Dele Alli kutemwa na kipusa Ruby Mae, kiungo huyo wa Tottenham Hotspur na timu ya taifa ya...

UDAKU: Melanie awachoka visura kudonadona penzi lake na Martial

Na CHRIS ADUNGO KIPUSA Melanie Da Cruz ambaye ni mkewe mwanasoka Anthony Martial wa Manchester United, amechoshwa na vichuna wanaomvizia...

UDAKU: Foden kijogoo! Anawika uwanjani na chumbani pia

Na CHRIS ADUNGO KIUNGO mvamizi wa Manchester City, Phil Foden, anatarajia kuitwa baba kwa mara nyingine baada ya kuthibitisha kuwa...

UDAKU: Alli aweka tangazo kwenye apu kusaka sogora wa mahabubu

Na CHRIS ADUNGO KIUNGO matata wa Tottenham Hotspur, Dele Alli, 24, sasa amejisajili rasmi na programu ya mitandaoni, Raya, ili kutafuta...