Watoto mayatima wafadhiliwa kuejerea darasani

Na LAWRENCE ONGARO WATOTO mayatima wapatao 100 wa Gatundu Kaskazini, wamefadhiliwa kwa vyakula huku wakiahidiwa kulipiwa karo shuleni...

Rais aelekea Uingereza kutafuta ufadhili

Na AGGREY MUTAMBO RAIS Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuzuru jijini London, Uingereza, kuanzia leo Jumapili kuanza juhudi za kutafuta...

Wanahabari Waislamu wafadhili makao ya watoto Kibra

Na CECIL ODONGO KAMA njia ya kushiriki kwenye miradi ya kuinua jamii, Chama cha Wanahabari Waislamu Jumanne kilitoa msaada wa kifedha...

Baadhi ya vijana wa Angaza Youth wazuru Ufaransa kupitia ufadhili

Na LAWRENCE ONGARO WASICHANA watatu na wavulana wawili wa timu ya Angaza Youth Team yenye mizizi yake Kiandutu, Thika, walizuru Ufaransa...

Wanafunzi wavivu kunyimwa ufadhili wa masomo

NA KALUME KAZUNGU WANAFUNZI wavivu waliopokea ufadhili wa kimasomo kutoka kwa serikali ya kaunti ya Lamu huenda wakapoteza nafasi zao...

KURUNZI YA PWANI: Kampuni inayowafaa wanafunzi werevu kutoka familia masikini

Na KAZUNGU SAMUEL WAKATI Naima Hilal alipomaliza kidato cha nne na kupata alama ya C+, alijua fika kilichokuwa kikimsubiri. Kutokana...

Vijana 750 kushindania Sh3.6 milioni kuwekeza kwa biashara

Na BERNARDINE MUTANU VIJANA wanaweza kushiriki katika shindano litakalowawezesha kupata ufadhili wa kuanzisha biashara. Vijana 750...