Uozo wa kimaadili miongoni wa wabunge waanikwa

Na CHARLES WASONGA HUKU Spika wa Bunge Justin Muturi akiahidi kuwa madai ya ufisadi yaliyoelekezewa wabunge fulani na kampuni moja ya...

Shahidi katika kesi ya ufisadi apatikana ameuawa

Na KITAVI MUTUA AFISA wa cheo cha juu katika Tume ya Kitaifa ya Ardhi (NLC) Jennifer Itumbi Wambua, ambaye jana mwili wake ulipatikana...

Duka la Nakumatt linavyohudumia wateja kisiri Nairobi

NA BRIAN WASUNA Wakati msimamizi wa Nakumatt, Peter Opondo Kahi aliyauza matawi sita yaliyosalia kwa Naivas kwa Sh422 milioni, wengi...

Mwanamke adai Mungu alimtuma kumumunya Sh30 milioni katika sakata ya Kemsa

Na SAMWEL OWINO MWANAMKE ameshangaza kamati ya bunge inayochunguza sakata ya Sh7.8 bilioni katika Mamlaka ya Kusambaza Dawa na Vifaa vya...

Waziri motoni kukodisha choo kwa Sh2.3m

Na DAVID MWERE WAZIRI wa Maji Sicily Kariuki ameagizwa kufika mbele ya wabunge kujibu maswali kuhusu matumizi mabaya ya fedha za umma...

EACC yaelezea hofu ya fedha za serikali kuporwa uchaguzi ukinukia

Na WALTER MENYA ASASI za kuchunguza ufisadi zimeelezea hofu kuhusu kutokea kwa visa vya wizi na ubadhirifu wa pesa za umma kupitia...

Wabunge waachwa vinywa wazi kuambiwa Sh6.2 bilioni za zabuni haramu za Kemsa zitalipwa

Na CHARLES WASONGA WABUNGE walipigwa butwa baada ya Afisi ya Mkuu wa Sheria kuwafichulia kuwa serikali italipa Sh6.2 bilioni, pesa za...

Macho yote kwa Haji kuhusu wizi wa mabilioni Kemsa

Na ANGELA OKETCH MKURUGENZI wa Mashtaka ya Umma (DPP) Bw Noordin Haji anasubiriwa kwa hamu kuwachukulia hatua waliohusika na kashfa ya...

NDIO! HAPA WIZI TU

NA WANDERI KAMAU RAIS Uhuru Kenyatta amekiri kuwa uporaji pesa ndani ya serikali yake ni wa kiwango cha kutisha.Akizungumza jana asubuhi...

2020: Wizi serikalini, migomo na ukosefu wa ajira corona ikitafuna Kenya

Na SAMMY WAWERU Mshale wa kronomita ulipoashiria saa sita kamili za usiku Januari 1, Kenya iliungana na ulimwengu kuukaribisha mwaka wa...

Wakenya asilimia 67 wanaamini ufisadi umeongezeka nchini – TI

Na CHARLES WASONGA WAKENYA wengi bado wanaamini kuwa visa vya ufisadi vimeongezeka nchini wakati huu wa janga la corona, kulingana na...

Kesi za ufisadi za Sh224 bilioni zimekwama kortini – Haji

Na BENSON MATHEKA Kesi 135 za ufisadi zinazohusu uporaji wa Sh224 bilioni pesa za umma, zinaendelea katika mahakama tofauti nchini,...