Mimi si mchawi – Raila Odinga

LEONARD ONYANGO na DERICK LUVEGA KIONGOZI wa ODM, Bw Raila Odinga jana aliendeleza juhudi za kuimarisha uhusiano kati yake na viongozi...

Mke aliyeenda kuokoa ndoa kwa mganga alishwa talaka

Na SAMMY WAWERU Kagumo, Kirinyaga MWANADADA mmoja alijuta baada ya kupewa talaka na mumewe akidai alikuwa akimtembelea mganga kupata...

Polisi waamriwa kumrudishia mganga wa Kangundo magari yake matano

Na RICHARD MUNGUTI MKURUGENZI wa Uchunguzi wa Jinai (DCI) ameamriwa amrudishie mganga maarufu wa Kangundo, kaunti ya Machakos Bi Annah...

Jombi atisha kutimua mke kwa kukataa kuamini ushirikina

Na LEAH MAKENA GATUNGA, THARAKA POLO wa hapa alitisha kumfurusha mkewe akimlaumu kwa kuchochea wanawe kutokubali dawa ya mganga ya...

Nyanya auawa kwa kushukiwa kutumia uchawi kuua watu 4

Na NICHOLAS KOMU NYANYA mwenye umri wa miaka 60 aliuawa na wakazi wa kijiji cha Kibingoti, Kaunti ya Kirinyaga kwa kushukiwa kutumia...