Ndoa ya Jubilee na ODM yapigwa mawe

Na BENSON MATHEKA MUUNGANO unaosukwa wa vyama vya kisiasa vya Jubilee na ODM, unaendelea kukosolewa vikali huku viongozi walioalikwa...

Vinara wa OKA sasa waalikwa kwa ndoa ya Uhuru na Raila

Na BENSON MATHEKA Vigogo wa kisiasa wanaounga handisheki, wamealikwa katika muungano wa kisiasa unaosukwa kati ya vyama vya Jubilee na...

Mikakati ya UhuRaila kutuliza mlima

Na WANDERI KAMAU RAIS Uhuru Kenyatta na kiongozi wa ODM, Raila Odinga, sasa wameanza juhudi mpya kutuliza joto la kisiasa katika ukanda...

Uhuru hawezi kunisaliti – Raila

Na BENSON MATHEKA KIONGOZI wa chama cha ODM Raila Odinga  amepuuza wanaodai kwamba Rais Uhuru Kenyatta hayuko makini kwa handisheki...

Uhuru atoa amri miradi Kisumu ikamilike upesi

Na RUSHDIE OUDIA RAIS Uhuru Kenyatta ametoa maagizo mapya ya kukamilishwa kwa miradi ya mabilioni ya pesa katika Kaunti ya Kisumu huku...

UGAVANA NAIROBI: Margaret Wanjiru alivyogeuka mwiba kwa UhuRaila

Na CHARLES WASONGA NI rasmi sasa kwamba uchaguzi mdogo wa ugavana wa Nairobi utafanyika Februari 18 kama ilivyotangazwa na Tume Huru ya...

Mivutano ya UhuRaila, Tangatanga kuwanyima haki watu wa Kirinyaga

Na CHARLES WASONGA MCHAKATO wa kuchunguza madai yaliyotolewa dhidi ya Gavana Anne Waiguru na madiwani wa Kirinyaga wanaotaka abanduke...

UhuRaila wakejeliwa kwa ‘kutakasa ufisadi’

NA MWANGI MUIRURI USHIRIKA wa Rais Uhuru Kenyatta na Raila Odinga chini ya mwavuli wa handisheki umetajwa kama unaolemaza vita dhidi ya...

Uhuru amtembeza Raila jijini usiku

Na BENSON MATHEKA Yaonekana Jumatatu ilikuwa siku ya Rais Uhuru Kenyatta kuyafurahisha makundi mawili hasimu ya kisiasa yanayounga mkono...

ONYANGO: Raila atumie ukuruba na Uhuru kuleta mageuzi

Na LEONARD ONYANGO KIONGOZI wa Wengi Bungeni Aden Duale amegonga ndipo kwa kuhimiza Rais Uhuru Kenyatta na kinara wa ODM Raila Odinga...

Mudavadi adai Raila aliwaficha kuhusu muafaka

Na VALENTINE OBARA KIONGOZI wa Chama cha Amani National Congress (ANC), Bw Musalia Mudavadi, ameibua shaka kuhusu kama Kiongozi wa Chama...

TUNARUDI TENA CHAMA KIMOJA? Demokrasia hatarini

Na BENSON MATHEKA Kenya inarejea taratibu katika utawala wa chama kimoja kufuatia matukio ya hivi majuzi ya wanasiasa kujiunga na...