UIGIZAJI: Lynn aamini hatua moja baada ya nyingine itamfikisha kileleni

Na JOHN KIMWERE LYDIA Adhiambo Owino ni miongoni mwa wasanii chipukizi wanaopania kutinga upeo wa kimataifa miaka ijayo katika tasnia ya...

Sonia: Chipukizi anayelenga nyayo za Priyank Chopra

Na JOHN KIMWERE NI msanii anayekuja katika tasnia ya uigizaji anayewachana maprodusa wenye kasumba ya kudumisha hadhi ya...

IRENE MUKUSYA: Ninalenga kupaa anga za kimataifa kwa uigizaji

Na JOHN KIMWERE ''NINATAMANI kutinga upeo wa juu katika tasnia ya maigizo.'' Haya ni matamshi yake Irene Ndangwa Mukusya anayefunguka...

Brenda Ochieng anavyotesa katika tasnia ya uigizaji

Na JOHN KIMWERE PENGINE sura na jina lake sio geni kwa wapenzi wa tasnia ya filamu hapa nchini. Ingawa ni miaka mitatu sasa tangia aanze...

VALLARY ACHIENG: Ipo siku mtanitazama kwa runinga

Na JOHN KIMWERE MWANZO wa ngoma kila mja hujipa matumaini ambapo huwa ni hali ya kutarajia. Ni katika kutumainia na kuvumilia ambapo ana...

Rufina (Mama Silas) aelezea safari yake ya uigizaji

Na JOHN KIMWERE Ni mwanabiashara na miongoni mwa waigizaji waliovumisha kipindi cha Maria kilichozoa umaarufu sio haba ndani ya mwaka...

Mtambue msanii chipukizi anayetunga nyimbo kwa lugha sita tofauti

Na WINNIE A ONYANDO Msanii chipukizi wa mdundo wa Swahili RnB Andrew Kibera almaarufu Andy Saharan ana mengi yasiyo ya...

JULIUS MWANZIA: Msanii chipukizi wa injili, produsa mtajika

Na JOHN KIMWERE NI mwimbaji wa nyimbo za injili na produsa anayekuja kwa kasi kwenye jukwaa la muziki wa burudani. Anashikilia kuwa...

ANGELA CHEGE: Analenga kumpiku Anne Kansiime

Na JOHN KIMWERE PENYE nia pana njia. Ndivyo wahenga walivyologa, tangia zama zile baada ya kupasua hilo mpaka sasa, msemo huo ungali na...

Mtambue ‘Kanini’ wa kipindi cha Maria

Na JOHN KIMWERE SURA yake na hata jina, sio geni kwa wafuasi wa tasnia ya filamu hapa nchini. Ameodhoreshwa miongoni mwa wasanii wa kike...

NEOLIN MOMANYI: Hongera NMG kwa kujitolea kuangazia masuala ya wasanii

Na JOHN KIMWERE MWANZO wa ngoma kila mja hujipa matumaini ambapo huwa ni hali ya kutarajia. Ni katika kutumainia na kuvumilia ambapo ana...

JOY KINYUA: Serikali ipige jeki uigizaji nchini

Na JOHN KIMWERE NI miongoni mwa wasanii wa kike wanaozidi kuvumisha tasnia ya filamu nchini. Ingawa amehitimu kama mwana habari wa...