Himizo Waislamu watii masharti hata wakati wa sherehe za Eid al-Fitr

Na MISHI GONGO VIONGOZI wa dini ya Kiislamu wamewashauri waumini wazingatie sheria na kanuni zilizowekwa kudhibiti virusi vya corona...

Serikali yatangaza Mei 25 sikukuu ya Eid al-Fitr

Na CECIL ODONGO SERIKALI imetangaza Jumatatu Mei 25, 2020, kuwa itakuwa sikukuu ya mapumziko kote nchini wakati Waislamu wakitarajiwa...

USIKU WA CHEO: Wito Waislamu waimarishe ibada wapate fadhila za Lailatul Qadr

Na MISHI GONGO KUMI la mwisho la mwezi wa Ramadhan ni wakati muhimu kwa waumini wa Kiisilamu ambao hukithirisha ibada zao kwa matumaini...

Uislamu si dini ya kigaidi, wanafunzi wahamasisha wenzao

NA STEVE MOKAYA Muungano wa Wanafunzi Waislamu (MWW) katika Chuo Kikuu cha Mombasa (TUM) uliandaa shughuli ya kuhamasisha umma kuhusu...

Wanafunzi 23 waliofumaniwa wakishiriki ngono wafukuzwa chuoni

CHARLES WASONGA na DAILY MONITOR CHUO Kikuu cha Kiislamu nchini Uganda kimefukuza kwa muda wanafunzi 23 kwa tuhuma za  kushiriki...