Makali ya janga la ukame yawasukuma baadhi ya wanaume kutupa familia

Na KALUME KAZUNGU WANAWAKE katika baadhi ya vijiji vya Kaunti ya Lamu, wamelalamikia jinsi waume wao walivyotoroka na kuacha familia zao...

Serikali kutumia kila familia Sh3,000 kukabili ukame

NA KIPKOECH CHEPKWONY SERIKALI imetangaza kuwa familia zilizoathiriwa na ukame katika maeneo mbalimali Kenya zitanufaika kupitia mfumo...

KDF kusaidia kukabiliana na ukame

Na FLORAH KOECH MAAFISA wa jeshi la ulinzi nchini (KDF) watashiriki katika mipango ya kukabiliana na makali ya ukame kwa kuchimba visima...

Kiangazi: Serikali yaahidi kununua mifugo

Na GEOFFREY ONDIEKI SERIKALI inalenga kuzindua mpango wa kuokoa mifugo katika maeneo yanayoathiriwa na ukame kama njia ya kupunguza...

Serikali yatangaza ukame kuwa janga

CHARLES WASONGA na PSCU HATIMAYE Rais Uhuru Kenyatta ametangaza ukame kuwa janga la kitaifa huku sehemu nyingi za nchi zikiathirika...

Jiandaeni kwa ukame, wafugaji waambiwa

Na COLLINS OMULO IDARA ya Utabiri wa Hewa nchini imewaonya wakazi wa maeneo ya kaskazini na kusini mwa nchi kuhusu uwezekano wa kupoteza...

Wamalwa asema hali ya ukame sio mbaya nchini

Na CHARLES WASONGA WAZIRI wa Ugatuzi Eugene Wamalwa amepuuzilia mbali madai kuwa hali ya kiangazi nchini ni mbaya sana. Akiongea...

Inasikitisha serikali kuchelewesha fedha kwa maeneo kame – Mbunge

Na CHARLES WASONGA MBUNGE wa Kilifi Kaskazini Owen Baya, ameilaumu serikali kwa kuchelewesha usambazaji wa pesa za Hazina ya Kusawazisha...

NJAA: Mito na maziwa yakauka Baringo na Nakuru miti ikinyauka

RICHARD MAOSI NA KEVIN KEMBOI MAELFU ya watu wanahofia maisha yao baada ya chemchemi za maji na mito kukauka katika Kaunti ya Nakuru na...

Serikali yatoa Sh2b kukabili njaa, Sh4b bado zahitajika

Na CHARLES LWANGA WIZARA ya Ugatuzi na Maeneo Kame sasa inataka Sh4 bilioni za kusaidia kupambana na janga la njaa na ukame linaloathiri...

Huenda shule 50 zikafungwa kutokana na ukame

 Na FLORAH KOECH SHULE za msingi zaidi ya 50 katika Kaunti ya Baringo huenda zikafungwa kutokana na ukosefu wa maji uliosababishwa na...

Baa la njaa: Watoto sasa wazirai shuleni

[caption id="attachment_2079" align="aligncenter" width="800"] Mwanamke na watoto wake wasubiri chakula cha msaada katika kauntindogo ya...