TAIFA LEO Logo
  • Habari
    • Habari za Kitaifa
    • Habari za Kaunti
    • Kimataifa
  • Siasa
  • Maoni
  • Makala
    • Afya na Jamii
    • Lugha, Fasihi na Elimu
    • Akili Mali
    • Jamvi La Siasa
    • Shangazi Akujibu
    • Bambika
    • Pambo
    • Dimba
  • Dondoo
  • Bi Taifa
  • Mashairi
  • Michezo
  • NIE Shuleni
Habari za Kitaifa NPSC sasa kuajiri makurutu 10,000 wa polisi mwaka huu Updated 5 hours ago
Habari za Kaunti Watu 33 wa kijiji kimoja walazwa hospitalini baada ya kula mzonga wa ng’ombe Updated 11 hours ago
Habari Magavana wakurupuka kujilinda na wimbi la ‘timua timua’ Updated 13 hours ago
Jamvi La Siasa Viongozi chipukizi wa Kenya Moja wavuruga hesabu za Weta, Musalia Updated 14 hours ago
Habari za Kitaifa

NPSC sasa kuajiri makurutu 10,000 wa polisi mwaka huu

Washirika wa Gachagua waadhibiwa kwa kuvuliwa nyadhifa kamati za Seneti

SHOKA la Rais William Ruto limeanza kuwaangukia wandani wa aliyekuwa naibu wake Rigathi Gachagua...

February 14th, 2025

Wakenya wabuni mbinu kukabili gharama ya juu, baada ya kubaini afueni haiji

IDADI kubwa ya Wakenya sasa wanawapeleka watoto wao katika shule za bei nafuu, kuhamia nyumba za...

February 13th, 2025

Gachagua atapatapa akiahirisha tena kutangaza chama cha ‘kutikisa’ Ruto 2027

KWA mara nyingine, aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua Jumapili alikosa kutimiza ahadi yake ya...

February 11th, 2025

Kalonzo: Tutamzima Ruto dhidi ya kuingiza wapiga kura kutoka nchi jirani

KIONGOZI wa Wiper Kalonzo Musyoka amedai serikali inapanga njama ya kusajili raia wa kigeni kuwa...

February 10th, 2025

Msako mkali wa mihadarati Isiolo wachukuliwa kuwa unaolenga waliozomea viongozi

ZAIDI ya watu 40 Jumapili walikamatwa mjini Isiolo kwenye oparesheni ambayo ililenga wauzaji wa...

February 10th, 2025

Waumini Mathira wanung’unikia zawadi ya Sh1 milioni kutoka kwa Rais Ruto

ZAWADI ya Sh1 milioni kutoka kwa Rais William Ruto zilizowasilishwa na Mbunge wa Mathira Eric...

February 10th, 2025

Kalonzo: Sina haraka na miungano, bora Ruto asipate muhula wa pili

KIONGOZI wa Wiper Kalonzo Musyoka atalazimika kusubiri kauli za kisiasa zitakazotolewa na kiongozi...

February 7th, 2025

Amri ya Ruto ya kutoa vitambulisho bila kupiga msasa wakazi mpakani yazua maswali

HATUA ya kupiga marufuku kuwapiga msasa wakazi wa eneo la Kaskazini Mashariki wanaotuma maombi ya...

February 6th, 2025

Bungei asema polisi hawakuua Rex Masai wala vijana wengine wakati wa maandamano

MKURUGENZI wa masuala ya utoaji huduma katika makao makuu ya Polisi (NPS) Adamson Bungei aliambia...

February 6th, 2025

Serikali yakiri haitaweza kutimiza ahadi ya nyumba 200,000 kwa mwaka

MRADI muhimu wa Rais William Ruto unaohusu nyumba za bei nafuu utakosa kwa umbali kutimiza malengo...

February 6th, 2025
  • ← Prev
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • Next →

Habari Za Sasa

NPSC sasa kuajiri makurutu 10,000 wa polisi mwaka huu

September 5th, 2025

Watu 33 wa kijiji kimoja walazwa hospitalini baada ya kula mzonga wa ng’ombe

September 5th, 2025

Magavana wakurupuka kujilinda na wimbi la ‘timua timua’

September 5th, 2025

Viongozi chipukizi wa Kenya Moja wavuruga hesabu za Weta, Musalia

September 5th, 2025

IEBC hatimaye yarejesha usajili wa wapigakura Gen Z wakiambiwa kipenga kimepulizwa

September 5th, 2025

Upinzani hauoni mazuri serikali imetekeleza, alalamika Rais Ruto

September 5th, 2025

KenyaBuzz

Demon Slayer: Kimetsu no Yaiba Infinity Castle

The Demon Slayer Corps are drawn into the Infinity Castle,...

BUY TICKET

The Conjuring: Last Rites

Paranormal investigators Ed and Lorraine Warren take on one...

BUY TICKET

Stolen Girl

In 1993, Maureen’s six-year-old daughter Amina is snuck...

BUY TICKET

The Last Confession

On his 70th birthday, a Supreme Court judge expects...

BUY TICKET

MACONDO LITERARY FESTIVAL 2025 (STUDENT)

The Macondo Literary Festival proudly returns for its fifth...

BUY TICKET

Macondo Masterclass: Cristina Bendek (Colombia)

Creating From Oralities: A Caribbean Get Tugeda to Thread...

BUY TICKET
TAIFA LEO Logo

Mitandao ya kijamii

Maarufu sana

Hofu ya Gachagua kuongea bila breki; viongozi wa upinzani watahadharishwa, ‘hana siri!’

August 29th, 2025

Samia pazuri kutwaa urais Tanzania bila upinzani wowote

August 29th, 2025

Kura: Ruto, Uhuru, Gachagua na Muturi kupimana nguvu Mbeere Kaskazini

August 30th, 2025

Usikose

NPSC sasa kuajiri makurutu 10,000 wa polisi mwaka huu

September 5th, 2025

Watu 33 wa kijiji kimoja walazwa hospitalini baada ya kula mzonga wa ng’ombe

September 5th, 2025

Magavana wakurupuka kujilinda na wimbi la ‘timua timua’

September 5th, 2025
Copyright © 2025 Nation Media Group. All rights reserved.