UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Jinsi ya kuandaa ratiba ya kudurusu nyumbani na umuhimu wake

Na MARY WANGARI MASOMO kama vile Hisabati, Fizikia, Kemia na Bayolojia huhitaji kufanyiwa mazoezi ya mara kwa mara kuhusu fomula na...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Ratiba ya kudurusu nyumbani kwa wanafunzi

Na MARY WANGARI KATIKA makala iliyopita, tuliangazia kuhusu vigezo muhimu vya kuzingatia wakati mwanafunzi anapounda ratiba ya kusomea...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Vigezo muhimu katika kutathmini insha-2

Na ENOCK NYARIKI KATIKA makala yaliyotangulia, tulianza kuangazia vigezo muhimu vinavyotumiwa katika utathmini wa insha za wanafunzi...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Sifa bainifu za lugha kama kiambajengo muhimu cha mawasiliano

Na MARY WANGARI JINSI tulivyokwisha eleza, lugha ni kiungo muhimu kinachotumiwa na binadamu katika karibu shughuli zao zote za...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Fasili ya lugha kama nyenzo ya kimsingi ya mawasiliano

Na MARY WANGARI KATIKA makala hii, tutaendeleza uchambuzi wa lugha kama kiungo cha kimsingi katika mawasiliano ya binadamu. Lugha ni...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Aina mbalimbali za malipo na dhima yake katika jamii

Na MARY WANGARI TUMEKUWA tukiangazia aina mbalimbali ya malipo yanayotumika katika shughuli mbalimbali za kijamii. Hii leo...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Dhana na dhima ya malipo na ada mbalimbali katika jamii

Na MARY WANGARI WANAJAMII huhitaji bidhaa na huduma mbalimbali ili kuwawezesha kufanikisha mambo, kukidhi haja na kuendeleza shughuli za...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Umilisi wa usemaji kama kitengo cha uamilifu katika lugha

Na MARY WANGARI MSOMI Chomsky ambaye ni mwasisi wa nadharia ya umilisi wa kiisimu katika lugha anahoji kwamba ni sharti mwanafunzi wa...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Umilisi wa mawasiliano na dhima yake katika kujifunza lugha ya Kiswahili

Na MARY WANGARI KUFAHAMU kuhusu umilisi wa kiisimu katika lugha ya Kiswahili husaidia kuelewa matatizo yanayowakumba wakufunzi na...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Uandishi kama sanaa ya mawasiliano

Na CHRIS ADUNGO KATIKA makala ya awali, tulisisitiza kuwa kuna matatizo ambayo ni ya kipekee kwa waandishi chipukizi, na kwamba matatizo...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Umuhimu wa kuzingatia saikolojia unapotunga fasihi

Na CHRIS ADUNGO JINSI ilivyo katika sanaa nyinginezo, mvuto ni kitu cha kimsingi sana katika fasihi. Kipengele hiki cha mvuto ni...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Umuhimu wa majaribio, mitihani katika kuimarisha umilisi wa kiisimu kwa wanafunzi

Na MARY WANGARI ILI mwanafunzi aweze kuwa na umilisi wa kiisimu katika lugha ya Kiswahili, ni sharti aambatishe matumizi ya lugha katika...