Bajeti kusomwa Aprili 7

NA CHARLES WASONGA WAZIRI wa Fedha Ukur Yatani ametangaza kuwa atasoma bajeti yam waka wa kifedha wa 2022/2023 mnamo Aprili 7,...

Madeni yaanza kuuma

Na WANDERI KAMAU WAKENYA wameanza kuhisi makali yanayotokana na masharti yaliyowekwa na Shirika la Fedha Duniani (IMF) na Benki ya Dunia...

Yatani kutuma Sh39 bilioni kwa kaunti baada ya magavana kutisha kusitisha huduma

Na CHARLES WASONGA WAZIRI wa Fedha Ukur Yatani Jumanne alisema Hazina ya Kitaifa itatuma Sh39 bilioni kwa serikali za kaunti mwishoni...

Kila bandari Kenya kuwa na mkurugenzi wake mkuu

ANTHONY KITIMO na BENSON MATHEKA MAMLAKA ya Bandari ya Kenya (KPA), inapanga kubadilisha usimamizi wa bandari ili kila moja iwe chini ya...

Kenya yaomba mkopo mwingine wa Sh86 bilioni kutoka Benki ya Dunia

Na CHARLES WASONGA LICHA ya pingamizi kutoka kwa Wakenya, serikali inaendelea na mtindo wake wa kuomba mikopo kutoka kwa taasisi za...

Wapwani wataka kummeza Yatani kuhusu Bandari

Na MOHAMED AHMED AGIZO la kuanzisha upya shughuli ya kumtafuta mkurugenzi mkuu wa bandari ya Mombasa limezua mjadala mkali miongoni mwa...

Yatani akiri alikabiliwa na kibarua kigumu kusawazisha bajeti

Na CHARLES WASONGA WAZIRI wa Fedha Ukur Yatani ameungama kuwa bajeti aliyowasilisha kwa Wakenya bungeni Alhamisi jioni ilitokana na...

Machungu ambayo Wakenya watapitia kufadhili bajeti ya mwaka wa kifedha wa 2020/21

Na CHARLES WASONGA HUKU Wakenya wengi wakiendelea kukabiliwa na hali mgumu kwa kupoteza ajira kutokana na janga la Covid-19, huenda...

BAJETI: Raila ala minofu Ruto akipiga miayo

Na PAUL WAFULA SERIKALI haijakoma kumkata miguu Naibu Rais William Ruto, wakati huu ikipunguza bajeti yake ya mwaka ujao wa kifedha kwa...

WASONGA: Bajeti inayosomwa leo haijali athari za corona

Na CHARLES WASONGA BAJETI ya kitaifa inaposomwa leo bungeni kuna maswali mengi ibuka kuhusiana na viwango vya fedha zilizotengewa...