Mhadhiri mwenye miaka 25 anavyotetea haki za walemavu

Na DIANA MUTHEU AKIWA na miaka 25, John Lokuta Ewoi ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Ufundi cha Mombasa (TUM). Licha ya ulemavu wake...

Wasio na uwezo kusikia kutumia maski spesheli kusoma midomo ya wazungumzaji

Na MISHI GONGO WALEMAVU wasio na uwezo wa kusikia katika Kaunti ya Mombasa wamepokea maski spesheli kutoka kwa Muungano wa Watu...

Wanafunzi walezea kuhusu kifaa walichovumbua kuwafaa walemavu

RICHARD MAOSI NA KATE WANDERI Salome Njeri na Esther Amimo mwaka huu waligonga vichwa vya habari kwa kushinda tuzo ya kimataifa...

UNYAMA: Mke kutoka kuzimu alivyompa mumewe upofu daima milele

Na CECIL ODONGO KILA mwaka Kenya inapowakumbuka wahanga wa shambulizi la kigaidi la Westgate lililotokea Septemba 21, 2013, uchungu,...

ERIC MALANDA: Aanzisha timu yenye makali ligini licha ya kuwa mlemavu

Na PATRICK KILAVUKA UTU na ari ya Eric Malanda imemwezesha kuanzisha timu ya Tinganga Community FC, Kaunti ya Kiambu ambayo inatia fora...