‘Sherehe’ kwa walevi baa 1,800 zikitakiwa kuuza pombe yao yote leo

Na WAIKWA MAINA WAMILIKI wa zaidi ya baa 1,800 katika Kaunti ya Nyandarua ambao leseni zao za kibiashara hazikuongezewa muda, wametakiwa...

Ninapolewa na kuvuta bangi, ajuza wote hugeuka vipusa, shabiki wa Chelsea aambia mahakama

Na Richard Munguti KONDAKTA mwenye umri wa miaka 27 Jumanne aliwavunja watu mbavu mahakamani alipoungama kuwa akilewa pombe aliyoiita...

Mwanamke motoni kwa kumuua mumewe mlevi

Na GEORGE MUNENE POLISI katika Kaunti ya Kirinyaga wanamzuilia mwanamke ambaye alidaiwa kumuua mumewe mlevi, kisha akaning’iniza mwili...

Demu mlevi atimua wazazi

Na JOHN MUSYOKI MBITINI, MACHAKOS KIZAAZAA kilizuka mtaani demu alipowatimua wazazi wake, walipomtembelea nyumbani na kumpata amelewa...

Ucheshi Twitter washukiwa kufika mahakamani wamelewa chakari

Na Mary Wangari Mitandao ya kijamii ilizagaa ucheshi mnamo Alhamisi, Agosti 15, kufuatia kisa ambapo washukiwa sita walipoteza fahamu...

Kina mama walevi watia wakazi hofu

Na WAIKWA MAINA MAAFISA wa watoto na wenyeji wa kaunti ya Nyandarua wamejawa na wasiwasi kufuatia ongezeko la akina mama wanaotelekeza...

Gavana ajitolea kushauri ‘mbunge mlevi’

Na ERIC MATARA GAVANA wa Nakuru Lee Kinyanjui amejitolea kumshauri Mbunge wa Molo Francis Kuria Kimani, ambaye aljitokeza akiwa mlevi...

NAKURU: Walevi waungana kuwakomboa wenzao

NA RICHARD MAOSI WARAIBU wa pombe na mihadarati hatimaye wameanza kupata faraja baada ya kundi la kibinafsi lililobuniwa na walevi...

Mamangu alinipa kiamsha kinywa cha busaa kila siku, asimulia chifu

Na MAGDALENE WANJA WAKENYA wengi wanamkumbuka kama chifu aliyehudhuria mkutano wa rais akiwa mlevi chakari mnamo mwaka wa 2016. Naibu...

Pombe imezuia vijana kuzaa – Gavana Kahiga

Na Stephen Munyiri GAVANA wa Nyeri, Bw Mutahi Kahiga, amedai upungufu wa watoto wanaojiunga na shule za chekechea umetokana na ulevi wa...

Hofu ya ulevi wa jombi yafikisha mke kwa bosi

Na LEAH MAKENA GIAKI, MERU MAMA wa hapa alishangaza watu wengi alipozuru ofisi alikokuwa akifanya kazi mume wake ili kupata hakikisho...

Jombi mlevi akamatwa akifuata kipusa msalani

Na TOBBIE WEKESA TOLL, RUIRU KIZAAZAA kilizuka katika kilabu kimoja eneo hili baada ya polo kutimuliwa alipopatikana na mabaunza...