Mjumbe wa Taliban anyimwa fursa kuhutubia kikao cha UN

Na AFP MKUTANO wa Mataifa wanachama wa Umoja wa Mataifa (UNGA) ulimazilika jana, huku mwakilishi wa kundi la Taliban linaloongoza...

MARY WANGARI: Kongamano la UN litumiwe kuimarisha mifumo ya uzalishaji lishe

Na MARY WANGARI UMOJA wa Mataifa (UN) umeonya serikali za dunia kuwa majanga yanayozidi kuchipuka kila uchao yataendelea kushuhudiwa...

Covid-19: UN yarai mataifa kuanza kufungua shule zao

Na AFP GENEVA, Uswisi UMOJA wa Mataifa (UN) umezirai nchi ambazo bado zinaendelea kufunga shule kutokana na janga la virusi vya...

UN yakerwa na video ya ngono

CHARLES WASONGA na MASHIRIKA UMOJA wa Mataifa (UN) umeelezea kukerwa na video moja inayoonyesha mwanamume katika kiti cha nyuma cha gari...

Kenya yapata kiti muhimu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

NA AGGREY MUTAMBO KENYA imepata kiti muhimu cha uanachama usio wa kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa baada ya kuishinda...

UN yamteua Zainab Hawa Bangura awe Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Nairobi

Na MWANDISHI WETU UMOJA wa Mataifa (UN) umetangaza kuteuliwa kwa Zainab Hawa Bangura wa kutoka Sierra Leone awe Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi...

Walimu wa Kenya wapata tuzo za UN, AU

Na COLLINS OMULO na FAITH NYAMAI WALIMU wawili wa humu nchini wamepata tuzo ya kimataifa wiki hii kwa kazi nzuri na kwa kuwasaidia...

Watu 500 wameuawa katika mashambulio nchini Syria – UN

Na AFP UMOJA WA MATAIFA KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) Antonio Guterres amesema kwamba watu 500 wakiwemo watoto 120, wameuawa...

Tanzania kujitoa katika mpango wa UN kuwapa wakimbizi uraia

[caption id="attachment_1282" align="aligncenter" width="800"] Rais wa Jamhuri ya Tanzania Bw John Pombe Magufuli. Picha/...