Maeneo 8 ya kuamua rais mpya katika 2022

Na LEONARD ONYANGO NAIBU RAIS William Ruto, kinara wa ODM Raila Odinga na wawaniaji wengine wa urais, watahitajika kuimarisha kampeni...

Wafuasi wa Tshisekedi na Kabila wazua taharuki DRC

Na AFP SERIKALI ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ilitangaza Jumatatu marufuku ya mikutano ya kisiasa jijini Kinshasha wiki...

Raila kuwania urais 2022, asema Sifuna

Na CHARLES WASONGA CHAMA cha ODM Jumatano kilitoa dalili za waziwazi kwamba kiongozi wake Raila Odinga huenda akawania uraia kwa mara ya...

Pendekezo rais ahudumu kwa miaka 4 na seneta miaka 7

Na LUCY KILALO CHAGUZI za nyadhifa sita zinazofanywa nchini kwa wakati mmoja zinastahili kufanywa nyakati tofauti ili kupunguza joto la...

Magavana 10 sasa walenga urais na useneta 2022

Na JUSTUS WANGA MAGAVANA 10 wanaohudumu kwa kipindi cha pili na cha mwisho tayari wameanza kuweka mikakati kuhusu maisha yao ya kisiasa...

MAKALA MAALUM: Mama wa Taifa waliojaliwa kuliko wengine duniani

Na FAUSTINE NGILA MNAMO Aprili 17, 2018, Bi Barbara Pierce Bush, mkewe mmoja wa waliokuwa marais wa Amerika na mama ya rais mwingine,...

Ombi lingine tatanishi kuhusu urais latua bungeni

Na CHARLES WASONGA OMBI tata la kuongeza muhula wa wabunge hadi miaka sita na kupunguza muhula wa rais hadi miaka minne liliwasilishwa...

Viongozi wataka Joho awanie urais 2022

Na KAZUNGU SAMUEL BAADHI ya viongozi wa kisiasa kutoka Pwani jana walimtaka gavana wa Mombasa Hassan Joho kuwania Urais mwaka wa...