Pigo kwa ‘mpango wa kando’ Uhuru akisaini sheria kuhusu urithi

Na CHARLES WASONGA NI pigo kwa wapenzi wa pembeni baada ya Rais Uhuru Kenyatta kutia saini mswada unaowazima kudai mgao wa urithi wa...

KIKOLEZO: Wameamua kukaa ngumu!

Na THOMAS MATIKO KWA kawaida huwa tunawaonea gere watoto wa mastaa waliofanikiwa au wanaotoka kwenye familia za kitajiri. Kwa mfano...

Wanachama wa Urithi Housing Co-operative wapewa mwongozo

Na LAWRENCE ONGARO CHAMA cha ushirika cha Urithi Housing Co-operative Society Ltd kimezindua mpango wa kuwahamasisha wanachama wake...

MWITHIGA WA NGUGI: Wakenya hawajavuna matunda ya ugatuzi miaka sita baadaye

Na MWITHIGA WA NGUGI NI miaka tisa sasa tangu Wakenya wakumbatie mfumo wa utawala wa ugatuzi baada ya kupitisha Katiba Mpya Mwaka...

Wazee wataka mkewe Ken Okoth ‘arithiwe’ kulingana na mila

Na PETER MBURU BARAZA la wazee katika jamii ya Luo sasa linawataka mama na mjane wa mbunge wa Kibra aliyeaga dunia majuzi Ken Okoth...

JAMVI: Ishara Uhuru atamrithisha Raila urais wala si naibu wake Ruto

Na MWANGI MUIRURI HUKU kauli moja kuu ya kisiasa ikiwa ni kuwa “yote yawezekana bora tu yapangwe vizuri”, kuna wasiwasi mkuu kuwa...

Urithi Housing yaahidi mazuri upande wa makazi

Na LAWRENCE ONGARO CHAMA cha Ushirika cha Urithi Housing Cooperative Ltd na kampuni ya ujenzi ya Meera Construction, wanaendelea na...

Mabilioni ya taabu katika familia za mabwanyenye wa Murang’a

Na MWANGI MUIRURI KUMEJAA kilio katika familia za mabwanyenye mabilionea wa Murang’a ambao wameaga dunia hivi majuzi, wake zao...

Urithi Housing watetea maswala ya uwekezaji

Na LAWRENCE ONGARO WAWEKEZAJI wanaojiegemeza zaidi katika ununuzi na ujenzi wa majumba, wamelalamikia kuongezeka kwa...

Waliopatanisha Uhuru na Ruto wakanusha maagano ya urithi 2022

Na JUSTUS OCHIENG WANASIASA waliohusika katika kuwaleta Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto pamoja kabla ya Uchaguzi Mkuu wa...

Kalonzo aandaliwa kuwarithi Uhuru na Raila

Na PIUS MAUNDU BAADA ya mkondo wa kisiasa kuonekana kubadilika katika Muungano wa NASA, Wiper imeanzisha mikakati ya kuhakikisha kinara...