JAMVI: Ishara The Service Party ndilo dau jipya la Ruto kuwania urais

Na WANDERI KAMAU HATUA ya aliyekuwa Waziri wa Kilimo, Bw Mwangi Kiunjuri, kuzindua chama kipya cha The Service Party (TSP) Jumatano,...

Ngome kuu ya Ruto yajuta kuingiza URP katika Jubilee

Na WAANDISHI WETU VIONGOZI wa kisiasa katika ngome ya Naibu Rais William Ruto eneo la Rift Valley, wameanza kujutia uamuzi wao...

Yaibuka Ruto ‘alimsindikiza’ Uhuru uchaguzini

Na MWANDISHI WETU HUENDA Rais Uhuru Kenyatta alisaidiwa na wataalamu wa kampuni iliyosimamia kampeni zake ya Cambridge Analytica,...

JAMVI: Kilele cha Ruto kumkaidi Uhuru

Na BENSON MATHEKA Hatua ya Naibu Rais William Ruto ya kukaidi maagizo kadhaa ya Rais Uhuru Kenyatta ni mbinu ya kuonyesha kwamba...

Wafuasi wa Ruto waonyesha dalili za kufufua URP

Na ERIC WAINAINA WAFUASI wa Naibu Rais William Ruto, Jumapili walionyesha ishara ya kufufua chama chake cha zamani cha United Republic...