Waislamu walaani MUHURI kuajiri ‘mtetezi wa mashoga’

Na FARHIYA HUSSEIN JAMII ya Waislamu nchini imeomba Baraza Kuu la Waislamu la Kenya (SUPKEM) liingilie kati kuhusu uamuzi wa shirika la...

Hatutakubali ushoga wala usagaji hapa Kenya – Kinuthia

Na MWANGI MUIRURI NAIBU Waziri wa Elimu Zack Kinuthia Jumatatu alisema kuwa serikali ya Kenya kamwe haitawahi kukubali shinikizo za...

Mkazi ashangaza wanakijiji kufukuza mkewe aishi na mume mwenzake

Na OSBORN MANYENGO MWANAMUME katika Kaunti Ndogo ya Kiminini, Kaunti ya Trans-Nzoia ameshangaza wanakijiji kwa kumtimua mkewe wa muda...

Rais wa Senegal asema nchi hiyo hairuhusu ushoga

Na MASHIRIKA DAKAR, SENEGAL RAIS wa Senegal Macky Sall ametetea hatua ya taifa lake kupiga marufuku mapenzi baina ya watu wa jinsia...

Ushoga: Wazee kutakasa Mlima

Na JOSEPH WANGUI WAZEE wamepanga kufanya maombi maalumu kutakasa Mlima Kenya, wakidai ulichafuliwa wakati makundi ya mashoga...

Waigizaji washambuliwa kuhusisha Yesu na ushoga

Na MASHIRIKA WAIGIZAJI wanne waliponea kifo chupuchupu baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana kwa kutoa filamu ya kumdunisha Yesu...

Serikali, dini zapinga mada za ushoga katika kongamano

GEORGE SAYAGIE, CECIL ODONGO NA SHABAN MAKOKHA NAIBU Rais Dkt William Ruto jana alipinga hoja yoyote kujadiliwa kuhusu ushoga kwenye...

Ushoga waeneza Ukimwi magerezani

MARY WANGARI Na ANGELA OKETCH IDADI kubwa ya wafungwa katika magereza ya Kenya wameambukizwa Ukimwi kutokana na kuongezeka kwa visa vya...

Mashirika ya kutetea ushoga hatarini kufungwa

Na DAVID MWERE MASHIRIKA ya kigeni yanayotetea ushoga nchini yamo hatarini kupigwa marufuku, baada ya wabunge kuanzisha uchunguzi kuhusu...

Msagaji asakwa kwa kuchoma nyumba 40 kwenye mzozo wa ushoga

Na BENSON MATHEKA POLISI jijini Nairobi, wanamsaka mwanamke anayeshukiwa kuwasha moto ulioteketeza zaidi ya nyumba 40 mtaani Kibra...

Mombasa yawataka wakazi kukoma kuwabagua makahaba na mashoga

Na WINNIE ATIENO SERIKALI ya kaunti ya Mombasa imeanza kuwahudumia makahaba, wapenzi wa jinsia moja na huntha (watu wenye sehemu mbili...

Mahakama yakubali kutazama filamu ya ushoga na usagaji

Na SAM KIPLAGAT SINEMA marufuku ya "Rafiki" ambayo ilizua utata kwa madai inaeneza ushoga, sasa itatazamwa kortini kama sehemu ya...