USWAHILINI: Posa asili ya Kidigo ilivyofanikishwa kwa kutumia washenga

Na HAWA ALI MVULANA wa Kidigo atokapo jandoni hutafutiwa mchumba. Jambo la kwanza kufanyika ni kumtuma mshenga ili akaonane na nyanya...

USWAHILINI: Turathi ya Misitu ya Kaya na manufaa yake kwa Wamijikenda

Na HAWA ALI JAMII ya Wamijikenda ni kabila linalopatikana Pwani ya Kenya, na moja ya utambulisho wao ni Kaya - hii ni misitu ambako...

USWAHILINI: Huu hapa mseto wa milo inayopendwa mno katika janibu za Uswahilini

Na HAWA ALI BAADHI ya vyakula maarufu vya Waswahili vinavyopikwa kwa unga wa ngano ni pamoja na mandazi, mikate ya kusukuma/chapati,...

Itikadi na miko ya Uswahilini ambayo haihusiani na dini

Na HAWA ALI WIKI jana tulizungumzia baadhi ya Imani na itikadi za Waswahili zenye mfungamano mkuu na dini ya Kiislamu. Hata hivyo,...

USWAHILINI: Si kila paka mweusi Pwani ni jini, lakini…

Na HAWA ALI MJI wa pwani wa Mombasa umejaa maonyesho ya asili yenye kuvutia ajabu. Jamii za wenyeji zinajulikana kuwa karimu na mara...

USWAHILINI: Mnara wa pembe jijini Mombasa ndio nembo kuu ya Uswahilini

Na HAWA ALI MNARA wa pembe za ndovu ndio alama kuu ya Uswahilini humu nchini. Mnara huu unapatikana katika barabara kuu ya...

Uchumi, sanaa na desturi za kabila la Wadigo uswahilini

NA HAWA ALI Zaidi ya kuwa Wadigo wengi huishi katika katika Mkoa wa Tanga, hasa kwenye mji wa Tanga, wako Kenya wanakoishi upande wa...

USWAHILINI: Taswira ya mandhari ya kupendeza ya mji wa Lamu

Na HAWA ALI KUSAFIRI kwa mashua hadi kwenye bandari ya Lamu ni mojawapo wa mandhari ya kupendeza ya mji wa Kiswahili wa Lamu. Upepo...

USWAHILINI: Mwanamke wa Kirabai hakuruhusiwa kupiga ngoma za kitamaduni

Na LUDOVICK MBOGHOLI JAMII ya Warabai ambayo ni miongoni mwa jamii nyInginezo za Kimijikenda haikuruhusu wanawake kupiga ngoma za...

USWAHILINI: Matumizi kedekede ya udi miongoni mwa jamii za Waswahili

Na HAWA ALI KWA wakazi wa jamii za Waswahili, manukato ya udi ni sehemu muhimu ya vitu vinavyokuwemo katika vijaluba vya vipodozi...

USWAHILINI: ‘Mtori’ lishe bora ya kitamaduni kwa wajawazito Pwani

Na LUDOVICK MBOGHOLI JAMII zinazoishi katika maeneo ya Pwani Magharibi, zimekuwa na itikadi ya kijadi ya kuhakikisha wajawazito wako...

USWAHILINI: Kujisitiri mwanamke wa Uswahili kiini si dini, ni utamaduni!

Na LUDOVICK MBOGHOLI KILA jamii ulimwenguni ina msingi wa itikadi ambayo ndiyo chimbuko mahususi la kuendeleza utamaduni wake. Hali...