SGR, barabara nzuri ndiyo rekodi kuu ya Uhuru – Utafiti

Na LEONARD ONYANGO SERIKALI ya Jubilee itakumbukwa kwa ujenzi wa barabara na reli ya kisasa (SGR), ripoti ya kura ya maoni...

Dkt Immanuel Gitamo: Mwanajeshi kutoka Kitale anayepiga jeki juhudi za SpaceX ya Elon Musk, Amerika

CHRIS WAMALWA Na SAMMY WAWERU TANGU hadithi ya ufanisi wa Dkt Emmanuel Gitamo ifichuke kupitia Jarida la The US Army mwezi uliopita,...

MARY WANGARI: Uwekezaji zaidi kisayansi na kiteknolojia utatufaidi

NA MARY WANGARI KATIKA siku za hivi majuzi, hisia kali zimeibuka nchini na barani Afrika kwa jumla kuhusiana na chanjo ya virusi vya...

FAUSTINE NGILA: Shirika la Utafiti wa Angani limezembea mno, ligutuke

Na FAUSTINE NGILA Katika ukurasa wake wa Facebook, Shirika la Utafiti wa Angani la Kenya (KSA) lilichapisha habari hapo Desemba 8....

Wakazi wa mitaa duni hawaamini virusi vinaweza kusambaa kanisani – Utafiti

LEONARD ONYANGO na WANDERI KAMAU HUKU idadi ya wanaoambukizwa virusi vya corona ikiendelea kuongezeka nchini na hata vifo kuripotiwa,...

Corona ni mbio za masafa marefu, watafiti waonya

Na BENSON MATHEKA JANGA la virusi vya corona ambalo limevuruga sekta zote za maisha litaendelea kwa muda, wataalamu wanaonya na kuwataka...

Wenye makalio makubwa wana akili ndogo – Utafiti

MASHIRIKA Na PETER MBURU WANASAYANSI wamechapisha utafiti ambao unaweza kuzua pingamizi kali, baada yao kubaini kuwa watu walio na nyama...

Watu wasahaulifu sana wana akili nyingi – Utafiti

MASHIRIKA na PETER MBURU WANASAYANSI wamebaini kuwa kuna uhusiano mkubwa kati ya mtoto anayesahau mambo wakati mwingi na kiwango cha juu...

Tilapia wa bei nafuu kutoka Uchina ni hatari kwa afya – Utafiti

Na ALLAN OLINGO na FAUSTINE NGILA UTADHANI kitoweo cha samaki unachokula kwenye mikahawa ya mijini hapa Kenya kimetoka kwa maziwa ya...

WAMALWA: Taifa lisilowekeza kwa utafiti haliwezi kukabili changamoto zake

NA STEPHEN WAMALWA ALIYEKUWA Rais wa Afrika Kusini hayati  Nelson Mandela, aliwahi kusema kuwa “Elimu ni silaha au nyenzo muhimu sana...

Mtoto wa tajiri ana nafasi nzuri maishani – Benki ya Dunia

Na VALENTINE OBARA MTOTO anayezaliwa katika familia maskini nchini hupata nafasi ndogo ya kujiimarisha kiuchumi kuliko yule anayezaliwa...

RIPOTI: Ugatuzi bado unawapiga chenga vijana

Na CAROLYNE AGOSA ASILIMIA 60 ya vijana nchini hawafahamu jinsi mfumo wa ugatuzi unavyofanya kazi wala majukumu ya viongozi wao wa...