Wawekezaji walilia Balala aokoe utalii

Na WINNIE ATIENO WAWEKEZAJI wa sekta ya Utalii wamemlilia Waziri wa Utalii, Bw Najib Balala (pichani) kuwaokoa kutoka kwa sera...

Dhuluma za ngono zinavyotatiza utalii

Na WAANDISHI WETU KESI ya mfanyabiashara Asif Amirali Alibhai Jetha, ambaye alihukumiwa miaka 30 gerezani, imezidi kufichua jinsi...

Nafuu kuu watalii wakifurika Mombasa

Na WINNIE ATIENO MATUMAINI ya sekta ya utalii kufufuliwa tena Mombasa yameongezeka baada ya idadi ya wateja wanaokodi vyumba hotelini...

Kaunti za Pwani kusaka ?watalii kama eneo moja

Na SIAGO CECE SERIKALI ya Kaunti ya Mombasa itashirikiana na kaunti zingine za Pwani kuinua sekta ya utalii ambayo imepata pigo kubwa...

Covid: Wadau wa utalii walalama kubaguliwa

Na WACHIRA MWANGI WADAU katika sekta ya utalii wamelalamika kuwa sekta ya utalii inabaguliwa serikali inapoendelea kujaribu kurejesha...

Utalii wapigwa jeki Lufthansa ikizindua safari

Na SIAGO CECE SEKTA ya utalii nchini imepigwa jeki baada ya Kenya kupokea ndege ya watalii kutoka Frankfurt, Ujerumani katika uwanja wa...

Wamaasai wanavyovumisha utalii kupitia sherehe za Moran

Na GEORGE SAYAGIE KAUNTI ya Narok inatarajiwa kuwa kivutio kikubwa cha utamaduni kwa miezi mitatu hadi minne ijayo, ukoo wa Purko...

Wadau walia utalii unaendelea kusambaratika nchini

Na WINNIE ATIENO SEKTA ya Utalii eneo la Pwani inazidi kudorora huku janga la corona likiendelea kuathiri biashara nchini. Wawekezaji...

Kero mitandaoni Balala akiteua Mwingereza kupigia debe utalii

NA WANGU KANURI Wakenya kupitia mitandao ya kijamii ya Twitter na Facebook wameeleza masikitiko yao kuhusiana na uamuzi wa Wizara ya...

Mombasa yaandaa burudani aali siku ya utalii duniani

Na MISHI GONGO KAUNTI ya Mombasa imeandaa burudani ya kukata na shoka kuadhimisha Siku ya Utalii Duniani. Sherehe hiyo ambayo...

Fort Jesus yafunguliwa kufufua utalii Pwani

Na DIANA MUTHEU BAADA ya kufungwa kwa miezi sita sasa, hatimaye kivutio maarufu cha watalii eneo la Pwani, Fort Jesus, ilifunguliwa...

Serikali yahakikishia wawekezaji sekta ya utalii kwamba inawapima wageni wote wanaoingia nchini kwa ndege

Na WINNIE ATIENO SERIKALI kuu imewahakikishia wawekezaji katika sekta ya utalii kwamba inaweka juhudi kukabiliana na virusi vya corona...