Taabani kwa kuuza vifaa feki vya kupima Ukimwi

Na RICHARD MUNGUTI WAFANYABIASHARA watatu Jumatatu walifikishwa kortini wakikabiliwa na mashtaka kuuza vifaa feki vya kupima...

Tapeli mkubwa wa Showbiz Wilkins Fadhili acheza kama yeye tena

NA TOM MATIKO WAKATI mwingine mimi hushindwa kuelewa kabisa Wakenya tunaishi katika sayari ipi. Juzi tena kumezuka stori kuhusu tapeli...

Mzungu alia kutapeliwa na mwanamke Mkenya

Na BRIAN OCHARO RAIA mwanamume wa Uingereza amelalamikia jinsi mwanamke Mkenya alivyomfilisi na kumwacha fukara. Kupitia kesi...

200 watapeliwa maelfu kupitia jina la Naibu Rais

Na WAWERU WAIRIMU WAKAZI zaidi ya 200 kutoka Isiolo wanakadiria hasara baada ya kutapeliwa na mwanamme aliyewaahidi kuwasaidia kukutana...

Watapeli kwa jina la Rais

Na DAVID MWERE AFISI ya Rais imelalamika vikali kwamba wanasiasa, wafanyibiashara, makatibu wa wizara na maafisa wengine wa umma...

Ruto abainisha ni kwa msingi upi anaweza kuunga mkono kura ya maamuzi ya Katiba

Na MWANGI MUIRURI NAIBU Rais, William Ruto Alhamisi amesema kuwa hataunga mkono wito unaotolewa kutaka kubadilisha Katiba ikiwa nia kuu...

Mbinu mpya ya wizi inayotumiwa na wanawake wanaojifanya wajawazito

Na RICHARD MUNGUTI KUNA genge la majambazi wanawake wanaojifanya ni wajawazito na kuwapora wananchi jijini Nairobi. Wanachama wa genge...

Raia wa Uganda kizimbani kwa kuwatapeli Wakenya mamilioni

Na RICHARD MUNGUTI RAIA wa Uganda Jumanne alishtakiwa kwa kuwalaghai wafanyabiashara wa Kenya Sh12.3 milioni akidai atawawekezea katika...

Aliyejifanya Sabina Chege kuwatapeli wabunge kupimwa akili

Na RICHARD MUNGUTI MWANAUME aliyekamatwa wikendi kwa madai ya kutumia jina la Mbunge Mwakilishi wa Wanawake Kaunti ya Murang’a, Bi...

Diwani akanusha mashtaka 6 ya ulaghai Murang’a

[caption id="attachment_3747" align="aligncenter" width="800"] Diwani kutoka kaunti ya Murang’a Peter Mburu Muthoni almaarufu Soloman...