Bunge laidhinisha Mutahi Kagwe na Betty Maina kuwa mawaziri

Na CHARLES WASONGA WABUNGE Jumatano waliidhinisha uteuzi wa aliyekuwa Seneti wa Nyeri Mutahi Kagwe na Betty Maina kuwa mawaziri wa Afya...

Teuzi za mawaziri zagawanya jamii ya Wakalenjin

Na WAANDISHI WETU MABADILIKO yaliyotekelezwa kwenye Baraza la Mawaziri na Rais Uhuru Kenyatta majuzi yamegawanya wanasiasa wa jamii ya...

UTEUZI: Tangatanga walia Uhuru alipendelea wandani wa Raila

Na CHARLES WASONGA WABUNGE wa mrengo wa Tangatanga kutoka eneo la magharibi mwa Kenya wamelalamikia kile wanachotaja kama kupuuzwa kwa...

Uhuru amkausha Ruto kwenye uteuzi

NA MWANDISHI WETU WATETEZI wakuu wa muafaka kati ya Rais Uhuru Kenyatta na Kiongozi wa Chama cha ODM, Bw Raila Odinga wamevuna pakubwa...

TAHARIRI: Uteuzi serikalini uzingatie uwazi

NA MHARIRI HATUA ya Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia (ICT) Joe Mucheru kubatilisha uteuzi wa Bw Jared Peter Odoyo Kwaga kama...

JAMVI: Uhuru pabaya kwa kusahau baadhi ya maeneo ya Gema katika uteuzi wake

Na WANDERI KAMAU Kwa Muhtasari: Mirengo mitatu inang’ang’ania ushirikishi zaidi wa kisiasa serikalini, hasa baada ya wanasiasa...