COVID-19: Rais Kenyatta atia saini mswada wa kupunguza ushuru

Na CHARLES WASONGA SASA ni rasmi kuwa waajiriwa wanaopokea mshahara usiozidi Sh24,000 kila mwezi hawatatozwa ushuru wowote na wale...