VIDUBWASHA: Kupima upungufu wa damu mwilini (Emory Anemia Detector)

Na LEONARD ONYANGO UNAPOJIHISI mchovu mara kwa mara, kupungukiwa pumzi, maumivu ya kichwa na kifua au ngozi kubadili rangi, kuna...

VIDUBWASHA: Huua bakteria kwenye maji (SteriPEN)

Na LEONARD ONYANGO WATAALAMU wa afya wanasema kuwa maji machafu huwa na mamilioni ya bakteria ambao ni hatari kwa afya. Maji huwa na...

VIDUBWASHA: Hupunguzia wajawazito hatari (MobiUS SP1 System)

Na LEONARD ONYANGO KULINGANA na ripoti ya Shirika linaloshughulikia Idadi ya Watu la Umoja wa Mataifa (UNFPA), Kenya ni miongoni mwa...

VIDUBWASHA: Utaweza kujipima macho ukiwa nyumbani (The EyeQue VisionCheck)

Na LEONARD ONYANGO SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) linakadiria kuwa zaidi ya watu 1.3 bilioni wana shida ya macho duniani. Watu milioni...

VIDUBWASHA: Kwa mashabiki wa Barca (Oppo Reno 10X Zoom FC Barcelona Edition)

Na LEONARD ONYANGO IKIWA wewe ni shabiki wa timu ya FC Barcelona ya Uhispania, una kila sababu ya kutabasamu. Kampuni ya simu ya...

VIDUBWASHA: Nokia ya kamera sita (Nokia 9 Pureview)

Na LEONARD ONYANGO SIMU ghali zaidi kuwahi kutengenezwa na kampuni ya Nokia hatimaye imeingia sokoni baada ya kungojewa kwa hamu na...

VIDUBWASHA: Kinakuondolea aibu ndogondogo (HiMirror Smart Beauty Mirror)

Na LEONARD ONYANGO JE, umewahi kujipodoa na baadaye ukajipata ukiwa na dosari licha ya kujiangalia kwenye kioo? Pole kwa...

VIDUBWASHA: Hii ni ya watu wa kipato cha chini (Huawei Y9 Prime 2019)

Na LEONARD ONYANGO KAMPUNI ya Huawei wiki iliyopita ilizindua simu mpya humu nchini. Kulingana na Steven Li, simu hiyo ya Huawei Y9 Prime...

VIDUBWASHA: Mlinzi poa (MobileKids)

Na LEONARD ONYANGO WENGI wa watoto ni watukutu, wakipewa simu huenda hata wakaangalia mambo yasiyofaa. Kampuni ya Bipper ya nchini...

VIDUBWASHA: Runinga ya kidijitali (Nebula)

Na LEONARD ONYANGO KAMPUNI ya kutengeneza vifaa vya kielektroniki ya Japan, Sanyo, imezindua runinga ya kidijitali ambayo huenda...

VIDUBWASHA: Kioo kinachochaji simu (Beauty Bank Compact Mirror)

Na LEONARD ONYANGO NI jambo la kawaida kwa akina dada kubeba vioo katika mikoba yao. Kadhalika, imekuwa kawaida watu kujihami kwa...

VIDUBWASHA: Ni zaidi ya mapambo (Bellabeat Leaf Urban Jewelry)

Na LEONARD ONYANGO KATIKA enzi hizi za utandawazi, wapenzi wa urembo au ulimbwende wanafurahia mapambo ya kidijitali pia. Miongoni...