Vihiga Queens inaendeleza rekodi ya kutoshindwa

Na JOHN KIMWERE VIHIGA Queens inaendeleza rekodi ya kutoshindwa pia inazidi kukaa kileleni mwa jedwali la Ligi Kuu ya Soka la Wanawake...

Kocha Vihiga Queens asema hakuna kulaza damu Ligi kuu

Na JOHN KIMWERE KAMPENI za kuwania taji la Ligi Kuu ya Soka la Wanawake zinaendelea kuchacha huku Vihiga Queens ikizidi kukaa kileleni...

Vihiga Queens kileleni licha ya sare

Na JOHN KIMWERE VIHIGA Queens ingali kileleni mwa jedwali la Ligi Kuu ya Soka la Wanawake licha ya kutoka sare tasa na Gaspo Women ugani...

Raha tele Vihiga Queens ikitamba Misri na kunusia nusu-fainali CAF

Na GEOFFREY ANENE MABINGWA WA AFRIKA Mashariki na Kati (CECAFA) Vihiga Queens, waliwapa Wakenya raha baada ya kunyamazisha ASFAR kutoka...

Gavana Ottichilo atimiza ahadi ya kuwapa Vihiga Queens Sh1 milioni

Na GEOFFREY ANENE MABINGWA wa soka ya klabu za akina dada ya Afrika Mashariki na Kati (Cecafa) Vihiga Queens wametunukiwa Sh1 milioni na...

Vihiga Queens waibuka malkia wa Cecafa, wapokea Sh3m na kuingia Klabu Bingwa Afrika

Na GEOFFREY ANENE VIHIGA Queens wamejikatia tiketi ya kushiriki makala ya kwanza ya Klabu Bingwa Afrika baada ya kuduwaza wanabenki wa...

Vihiga Queens kufufua uadui na CBE ya Ethiopia kwenye fainali ya Cecafa kuingia Klabu Bingwa Afrika

Na GEOFFREY ANENE WENYEJI Vihiga Queens watamenyana na CBE (Ethiopia) katika fainali ya mashindano ya Afrika Mashariki na Kati (Cecafa)...

Vihiga Queens yaahidi Gavana Ottichilo kutwaa taji la Cecafa

Na GEOFFREY ANENE VIHIGA Queens imeahidi Gavana wa Kaunti ya Vihiga, Wilber Ottichilo kuwa itashinda mashindano ya kina dada ya klabu za...