Vijana wachoma picha

VALENTINE OBARA na MARY WAMBUI MASAIBU yanayomkumba Seneta wa Nairobi, Bw Johnson Sakaja ambaye alikamatwa kwa kukiuka kanuni za...

Vijana wa Makongeni mjini Thika wataka serikali iwajali

Na LAWRENCE ONGARO VIJANA kutoka Makongeni mjini Thika, wanalalamika kuwa mpango wa kuajiri vijana wasio na kazi haujawafikia hadi...

SERIKALI: Kazi kwenu vijana

Na JUMA NAMLOLA SERIKALI sasa inawaomba vijana wawe kwenye mstari wa mbele kukabiliana na maambukizi ya virusi vya corona. Waziri wa...

Vijana watatiza hotuba ya Aisha Jumwa

MOHAMMED AHMED na CHARLES WASONGA KUNDI la vijana mjini Mombasa, Ijumaa limemzomea Mbunge wa Malindi Aisha Jumwa alipokuwa akiwahutubia...

Uhuru awapa vijana vyeo vya juu kuwatuliza

Na PETER MBURU RAIS Uhuru Kenyatta Jumanne alionekana kutaka kuwatuliza vijana ambao wamekuwa wakimkosoa kwa kuwapa wazee kazi,...

Mazungumzo baina ya Kanisa na vijana yachangia kuimarika kwa usalama

Na SAMMY KIMATU KANISA linafurahia matunda ya mazungumzo na vijana yaliyochangia kuimarika kwa usalama wakati wa msimu wa...

Afrika yashauriwa kukoma kuwanyima vijana nafasi maishani

NA ALLAN OLINGO VIONGOZI wa bara Afrika wamehimizwa kupatia kipaumbele masuala yanayohusu vijana. Suala hilo lilijitokeza katika...

Wazee mnaovuta bangi mnachangia vijana kupotoka – kamishna

Na LAWRENCE ONGARO KUNA haja ya wazee kuwa kielelezo kwa vijana ili waweze kuiga mfano wao. Hayo yalitajwa na Naibu Kamishna wa Thika...

WANGARI: Serikali imepuuza maslahi ya vijana wa Kenya

Na MARY WANGARI MAJUZI kumekuwa na misururu ya visa na masimulizi ya kutamausha kuhusu vijana waliosoma na kupata shahada za digrii na...

OBARA: Tutatue vikwazo vya ajira badala ya kuimbaimba ‘Vijana Wajiajiri’

Na VALENTINE OBARA MAHALI tulipofika sasa, wimbo huu wa ‘Vijana Wajiajiri’ wasinya! Kila mara mdahalo unapoibuka kuhusu janga la...

Pendekezo vijana wasio na kazi wapewe Sh48,000 na serikali

Na PETER MBURU WABUNGE wawili wanapendekezea bunge kubadili sheria, ili vijana ambao hawajaajiriwa wawe wakipewa kiwango fulani cha pesa...

‘Vijana wanaofanya kulihali kuepuka maovu katika jamii wanastahili pongezi’

NA SAMMY WAWERU UKOSEFU wa ajira miongoni mwa vijana nchini unanyooshewa kidole cha lawama kama njia mojawapo inayochangia visa vya...