WASONGA: Tuwe macho virusi vipya visipenyeze hapa Kenya tena

Na CHARLES WASONGA MAJUZI ripoti zilichipuza katika vyombo vya habari kwamba virusi vipya vimegunduliwa nchini China na vina uwezo wa...

NGILA: Vijana wakome kufanyia mzaha janga la virusi hatari

Na FAUSTINE NGILA INASIKITISHA mno kuwaona vijana wakiendelea kupuuza maagizo ya serikali yanayonuia kupunguza maambukizi ya virusi vya...

HOFU KUU! Hofu ya coronavirus yalazimu Man-United kumtenga Ighalo

Na MASHIRIKA MANCHESTER, Uingereza KLABU ya Manchester United imefichua kuwa, sajili mpya Odion Ighalo anafanya mazoezi mbali na...

Wakenya walio China waomba serikali iwafikirie

Na ELIZABETH MERAB WAKENYA wanaoishi China wameeleza wasiwasi wao kwamba serikali haijafanya juhudi za kutosha kuwalinda dhidi ya virusi...

Wakenya wengi hawana habari wanaugua Ukimwi – Wizara ya Afya

Na WANDERI KAMAU ASILIMIA 53 ya Wakenya hawafahamu kwamba wana virusi vya HIV, imesema Wizara ya Afya. Kulingana na wizara hiyo, hili...