UCHAMBUZI WA VITABU TAHINIWA VYA FASIHI: Maudhui katika Tamthilia ya ‘Kigogo’

Na WANDERI KAMAU Nafasi ya mwanamke BAADHI ya wahusika wanawake katika tamthilia hii wamesawiriwa kuwa wazalendo na mashujaa, huku...

Wauzaji vitabu walia wanapata hasara

Na MISHI GONGO WAMILIKI wa maduka ya vitabu mjini Mombasa wameitaka serikali iwaepushie hasara inayotokana na kubadilishwa kwa vitabu...

OBARA: Ununuzi wa vitabu shuleni usiachiwe walimu wakuu

Na VALENTINE OBARA MATUKIO yenye umuhimu mkubwa katika sekta ya elimu yalishuhudiwa wiki iliyopita. Kwa bahati mbaya, hayakufanikiwa...

Bora kitabu, wazazi wanunulia wanao vitabu kuukuu barabarani

NA RICHARD MAOSI Maduka yanayouza vitabu katika miji mingi nchini yamevuna pakubwa muhula huu wa kwanza wanafunzi wanaporejea shuleni...

OBARA: Jopo la kuchunguza makosa vitabuni liokoe watoto wetu

Na VALENTINE OBARA INATIA moyo kusikia kwamba hatimaye serikali imechukua hatua kwa lengo la kuboresha yaliyomo kwenye vitabu...

WAMALWA: Tuutumieni uvumbuzi wa kiteknolojia kuimarisha usomaji wetu

NA STEPHEN WAMALWA MWANZONI mwa Oktoba, nilifanya tathmini ya usomaji wetu wa vitabu katika maisha ya kila siku. Wengi wetu tunakiri...

WANDERI: Tuepuke dhana ya kipebari kwenye vitabu vya watoto wetu

Na WANDERI KAMAU MOJAWAPO wa kurasa kwenye kitabu cha shule ya msingi unaonyesha mbunge fulani akiwasili kwa helikopta shuleni huku...

Wachapishaji sasa wajitenga na makosa vitabuni

Na PETER MBURU WACHAPISHAJI wa vitabu, kupitia muungano wao wa KPA, Alhamisi walijitetea kutokana na malalamishi kutoka kwa umma...

Wallah Bin Wallah aikejeli KICD kuruhusu mategu vitabuni

Na DENNIS LUBANGA MWANDISHI wa vitabu vya Kiswahili Wallah Bin Wallah amewaondolea lawama waandishi na wachapishaji wa vitabu, kutokana...

Vitabu milioni 32 kusambazwa shuleni muhula wa pili

Na CHARLES WASONGA WACHAPISHAJI wanasema usambazaji wa vitabu vya kiada katika shule za umma chini ya mpango wa serikali wa...

Walimu sasa waacha kutumia vitabu vipya

Na JOSEPH WANGUI WALIMU wamewacha kutumia vitabu vilivyosambazwa na serikali kwa mtaala mpya wakisema kuwa maelezo yake ni...

Wazazi: Vitabu hivi vinawapotosha wanafunzi, viondolewe

Na VALENTINE OBARA WAZAZI Jumanne waliungana na walimu wa shule za sekondari kushinikiza kuondolewa kwa vitabu vipya vya Kidato cha...