Taabani kwa kutisha kumuua Rais Kenyatta

Na SIMON CIURI MWANAMUME mmoja Jumatatu alifikishwa katika mahakama ya Kiambu akidaiwa kutisha kumuua Rais Uhuru Kenyatta ikiwa angepata...

Jinsi madiwani wanavyotishwa kupitisha BBI

Na BENSON MATHEKA JUHUDI za kubadilisha Katiba kupitia Mchakato wa Maridhiano (BBI) zimechukua mkondo mpya na hatari, huku wanaouunga...

Meneja wa mwigizaji Wendy kubakia seli

Na RICHARD MUNGUTI MKUFUNZI wa mwigizaji maarufu, Wendy Waeni alizuiliwa jana kwa siku tano kuhojiwa kwa madai alighushi barua aliyodai...

Wahuni wanataka kichwa na viungo vya mwili wangu – Didmus Barasa

NA CHARLES WASONGA MBUNGE wa Kimilili Didmus Barasa amemwandikia Spika wa Bunge Justin Muturi akitaka aongezewe walinzi akidai maisha...

Uhuru: Mimi si mtu wa kutishwatishwa na yeyote

Na LEONARD ONYANGO NI nani huyo anayethubutu kumtisha Rais wa Jamhuri ya Kenya? Swali hili limeibuka kufuatia matamshi ya Rais Uhuru...

Tulitishwa kwa kufuta ushindi wa Rais Kenyatta, Jaji Mwilu afichua

Na CHARLES WASONGA HATIMAYE Jaji mmoja wa Mahakama ya Juu ameungama kuwa walipokea vitisho baada ya kubatilisha ushindi wa Rais Uhuru...