ODM yawataka wanaolenga tiketi Kibra wajiepushe na vurugu

Na CHARLES WASONGA CHAMA cha ODM kimewaonya wagombea wake wote kwamba wale watakaothubutu kusababisha vurugu katika kura ya mchujo...

Baadhi ya wanachama Knut wazidi kushinikiza Sossion ajiuzulu

Na WANDERI KAMAU BAADHI ya maafisa wa ngazi ya juu ya Chama Cha Walimu Nchini (Knut) wameingia kwa lazima katika makao makuu jijini...

Daystar kuchunguza kiini cha ghasia chuoni

Na LEONARD ONYANGO CHUO Kikuu cha Daystar kimeunda jopokazi la kuchunguza vurugu za wanafunzi ambao zimekuwa zikishuhudiwa chuoni hapo...

27 wakamatwa kufuatia ghasia Kakamega

Na SHARON OKOLLA Watu 27 walikamatwa mjini Kakamega kwa kuhusika katika rabsha baada ya waombolezaji kukabiliana na polisi wa kupambana...

Madiwani 9 kukosa vikao kwa kuzua fujo

Na ANITA CHEPKOECH MADIWANI tisa wa Bunge la Kaunti ya Kericho wamesimamishwa kushiriki katika shughuli za kamati mbalimbali huku...