VYAMA: Chama cha Kiswahili katika Shule ya Upili ya Kenyatta (Mahiga), Nyeri

Na CHRIS ADUNGO CHAMA cha Kiswahili katika Shule ya Upili ya Kenyatta (Mahiga) katika eneo la Othaya, Kaunti ya Nyeri kiliasisiwa Oktoba...

VYAMA VYA KISWAHILI: Chama cha Kiswahili katika shule ya Msingi ya Mutweamboo, Makueni

Na CHRIS ADUNGO CHAMA cha Kiswahili katika Shule ya Msingi ya Mutweamboo (CHAKIMU) kina malengo ya kuchangia makuzi ya...

VYAMA VYA KISWAHILI: Chama dawa mjarabu kukabili mitazamo hasi kuhusu lugha shuleni Minhaj, jijini Nairobi

Na CHRIS ADUNGO CHAMA cha Kiswahili katika Shule ya Msingi ya Minhaj Academy (CHAKIMA) kilianzishwa kwa lengo la kubadilisha mtazamo...

VYAMA VYA KISWAHILI: Chama cha Kiswahili katika Shule ya Upili ya Lelwak

Na CHRIS ADUNGO CHAMA cha Kiswahili katika Shule ya Upili ya Lelwak (CHAKILE) kiliasisiwa mwaka huu na walimu wapenzi wa Kiswahili...

VYAMA VYA KISWAHILI: Chama cha Kiswahili katika shule ya upili ya wavulana ya Mukaa (CHAKIMU)

Na CHRIS ADUNGO CHAKIMU ni chama kinachochangia matumizi bora ya Kiswahili katika Shule ya Upili ya Mukaa Boys’ iliyoko viungani mwa...

VYAMA VYA KISWAHILI: Chama cha Kiswahili chuoni Laikipia ni jukwaa la uhakika katika makuzi ya lugha na vipaji

Na CHRIS ADUNGO CHAMA cha Kiswahili katika Chuo Kikuu cha Laikipia (CHAKILA) kilianzishwa mnamo 2013 chini ya mwavuli wa Chama cha...

VYAMA VYA KISWAHILI: CHAKILA: Jukwaa bora la makuzi ya Kiswahili Shuleni Laverna, Kaunti ya Machakos

Na CHRIS ADUNGO SHULE ya Msingi ya Laverna katika Kaunti ya Machakos ni miongoni mwa shule nyingi kutoka humu nchini ambazo kwa sasa...

VYAMA VYA KISWAHILI: Chama cha Kiswahili katika Shule ya Upili ya St Charles Lwanga, Kitui

Na CHRIS ADUNGO CHINI ya ulezi wa Mwalimu John Muli, Chama cha Kiswahili katika Shule ya Upili ya St Charles Lwanga Kitui (CHAKILWAKI)...

VYAMA VYA KISWAHILI: Chama cha Kiswahili katika Shule ya Upili ya Njega Boys, Kirinyaga (CHAKIMANJE)

Na CHRIS ADUNGO CHAKIMANJE ni chama ngangari katika ukuzaji na uenezaji wa lugha ashirafu ya Kiswahili katika Shule ya Upili ya...

VYAMA VYA KISWAHILI: Jopo la Kiswahili katika Shule ya Msingi ya Kyeni, Machakos lulu halisi ya lugha Mashariki

Na CHRIS ADUNGO VYAMA vya Kiswahili vina dhima teule katika shule yoyote. Huwa vinatoa jukwaa la kukuza vipawa mbalimbali vya...

VYAMA VYA KISWAHILI: Jivunio la lugha ya Kiswahili Shuleni Mukaa Boys, Kaunti ya Makueni

Na CHRIS ADUNGO CHAKIMU ni chama kinachodhamiria kuchangia matumizi bora ya Kiswahili katika Shule ya Upili ya Mukaa Boys iliyoko...

CHAKISI; Bakora mwafaka dhidi ya matokeo butu ya Kiswahili Shuleni Isibania

Na CHRIS ADUNGO CHAMA cha Kiswahili katika Shule ya Upili ya Isibania (CHAKISI) kilianzishwa rasmi na aliyekuwa Mkuu wa Idara ya Kiswahili...