Serikali yapewa siku 7 kuzuia mgomo wa wahadhiri

Na FAITH NYAMAI SHUGHULI za masomo katika vyuo vikuu vya umma huenda zikatatizika baada ya wahadhiri kutishia kugoma wiki ijayo iwapo...

‘Kusomea nyumbani si rahisi’

Na DIANA MUTHEU WANAFUNZI wengi wa vyuo vikuu wamelalamika kuwa kusomea nyumbani kuna changamoto nyingi sana. Akizungumza na Taifa...

Wanachuo wanavyojikimu kimaisha wakati wa corona

NA HOSEA NAMACHANJA Je, wanafunzi wa vyuo vikuu wanasukumaje gurudumu la maisha wakati huu wa janga la virusi vya corona kujikimu...

Magoha adinda kutetea wanavyuo wanaokosa hafla

Na WINNIE ATIENO WAZIRI wa Elimu, Prof George Magoha ametetea wahadhiri wa vyuo vikuu kwa kuondoa wanafunzi ambao hawajafuzu wasishiriki...

Magoha akosoa vyuo vikuu kwa kupinga azma ya kuviunganisha

NA OUMA WANZALA WAZIRI wa Elimu Prof George Magoha Jumatatu aliwakejeli Manaibu Chansela wa vyuo vikuu vya umma ambao wanapinga mpango...

Wito wadau muhimu wahusishwe katika mpango wa kuunganisha baadhi ya vyuo

Na WANDERI KAMAU BARAZA la Miungano ya Kutetea Haki za Wafanyakazi (TUC-Ke) limeomba wadau wote muhimu washirikishwe katika mjadala wa...

Maelfu hatarini kupigwa kalamu vyuoni

Na OUMA WANZALA MAELFU ya wahadhiri na wafanyakazi wa vyuo vikuu wako katika hatari ya kufutwa kazi baada ya wanafunzi waliohitimu...

OBARA: Vijana waliofuzu vyuoni watafute njia za kujikimu

Na VALENTINE OBARA KWA wiki kadhaa mwezi huu hadi mwishoni mwa wiki iliyopita, mamia ya maelfu ya wanafunzi walifuzu kwa shahada...

Ruto avitaka vyuo vifunze kozi zinazowiana na Ajenda Nne Kuu

CHARLES WANYORO na CHARLES WASONGA NAIBU Rais William Ruto ametangaza kuwa kuanzia Ijumaa vyuo vikuu vitakuwa vikipokea ufadhili wa...

Wanafunzi 5700 waliopata C+ wakosa nafasi katika vyuo vikuu

Na VALENTINE OBARA WANAFUNZI 5,747 waliopata alama ya C+ kwenda juu kwenye Mtihani wa Kitaifa wa Shule za Upili (KCSE) mwaka uliopita...

WASONGA: Naam vyuo vya kiufundi visibadilishwe kuwa vyuo vikuu

[caption id="attachment_2476" align="aligncenter" width="800"] Mwenyekiti wa Baraza la Kitaifa la Mitihani (KNEC), Profesa George Magoha....