SGR: Jinsi Wachina walivyozima Uhuru

NA PHILIP MUYANGA RAIS Uhuru Kenyatta alishindwa kutimiza ahadi aliyotoa kwa Wakenya mnamo 2018 kuwa angetoa kwa umma kandarasi kati ya...

Wachina watoroka corona Kenya

VALENTINE OBARA na SALATON NJAU MAMIA ya raia wa China jana Ijumaa walianza kuondoka Kenya kurudi nchini mwao, wakihofia kuambukizwa...

Mahakama yaamuru Wachina wanne warudishwe kwao

Na RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA Jumatano iliamuru raia wanne wa Uchina walionaswa katika video wakimchapa Mkenya warudishwe nchini kwao mara...

Matiang’i azimwa kufukuza Wachina waliochapa raia wa Kenya viboko

Na RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA Kuu Jumatano ilisitisha agizo la Waziri wa Usalama, Dkt Fred Matiang’i lililotaka raia wanne wa China,...

Wachina watiwa adabu kwa kushambulia Mkenya

Na RICHARD MUNGUTI RAIA wanne wa Uchina miongoni mwao mpishi aliyenaswa katika picha za video akimshambulia raia wa Kenya na kumwumiza...

Wachina waliochapa Mkenya mijeledi kuadhibiwa vikali na serikali

Na LEONARD ONYANGO POLISI wamekamata raia wanne wa China kuhusiana na video iliyochipuka mtandaoni ikionyesha Mchina akichapa viboko...

Wachina 3 waliokamatwa na nyama zilizooza wazuiliwa

Na RICHARD MUNGUTI RAIA watatu wa Uchina waliotiwa nguvuni Januari 8, 2019 katika mtaa wa Kilimani wakiwa na nyama za wanyamapori...

Wachina 15 wafurushwa kwa kushiriki ukahaba South C

Na VALENTINE OBARA RAIA 15 wa Uchina wakiwemo wanawake 13 na wanaume wawili, Jumatano walikamatwa kwa madai ya kushiriki ukahaba jijini...

Wakenya na Wachina taabani kwa kusajili laini 30,000 za Airtel kulaghai watu

Na RICHARD MUNGUTI RAIA wawili wa Uchina na Wakenya sita akiwamo mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kenyatta walishtakiwa kwa kushiriki katika...