Shirika latilia shaka maandalizi ya IEBC

WACHIRA MWANGI na FARHIYA HUSSEIN SHIRIKA moja la wanaharakati nchini limeelezea wasiwasi wake kuhusu maandalizi duni miongoni mwa...

Chebukati atauma Ruto?

WANDERI KAMAU na DERICK LUVEGA NAIBU Rais William Ruto ameendelea kupuuza amri ya mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC),...

Chebukati atawaweza wanasiasa?

Na WANDERI KAMAU MWENYEKITI wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), Bw Wafula Chebukati, anaendelea kuwakazia kamba wanasiasa, huku...

Chebukati sasa akataa ‘kupangwa’

Na WANDERI KAMAU HATUA ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kuepuka lawama za mapendeleo katika uchaguzi mkuu ujao kwa kujiondoa...

IEBC yakaidi mahakama

Na LEONARD ONYANGO TUME Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) jana Jumanne ilisitisha usajili wa wapigakura ambao umekuwa ukifanyika kitaifa...

Chebukati apuuzilia mbali madai kuwa ‘deep state’ itayumbisha uchaguzi

Na CHARLES WASONGA MWENYEKITI wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati, Jumatano amepuuzilia mbali wasiwasi kwamba...

IEBC yakana ‘kumsaidia’ Ruto

Na WANDERI KAMAU TUME Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Jumanne ilikanusa madai kuwa inashirikiana kisiri na mrengo wa ‘Hustler...

CHARLES WASONGA: Darubini kwa Chebukati uchaguzi wa 2022 ukinukia

Na CHARLES WASONGA HUKU ikiwa imesalia miezi 11 kabla ya Wakenya kuelekea debeni kuwachagua viongozi wapya, macho yote yanaelekezwa kwa...

ODM yashutumiwa kwa kupendekeza kung’olewa mamlakani kwa Chebukati

Na CHARLES WASONGA VIONGOZI wa kisiasa kutoka vyama mbalimbali vya kisiasa wameshutumu wenzao wa ODM kwa kupendekeza kuondolewa afisini...

KINYUA BIN KING’ORI: Wanasiasa wajiepushe na mjadala wa kuahirisha uchaguzi

Na KINYUA BIN KING'ORI INGAWA Mahakama ya Afrika ilitoa ushauri kwamba mataifa ya bara hili ambayo huenda yatashindwa kuandaa uchaguzi...

Je, IEBC yafaa kuanza kujiandaa kwa kura ya maamuzi kabla ya uamuzi wa mahakama kuhusu rufaa ya BBI?

Na CHARLES WASONGA TUME Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) inaonekana kuanza maandalizi ya kura ya maamuzi ilhali hatima ya mchakato huo...

IEBC yataka waliochochea vurugu Juja wachukuliwe hatua kali kisheria

Na SAMMY WAWERU TUME Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) inataka waliochochea vurugu wakati wa shughuli ya kuhesabu kura eneobunge la...