Msongamano wa wagonjwa wazidi hospitalini

Na STEVE NJUGUNA AKINA mama wanaojifungua wamelalamikia msongamano wa wagonjwa kwenye wodi zao katika hospitali ya Kaunti ya Nyahururu,...

Mgomo wasukuma wagonjwa kufurika hospitali ya misheni Baringo

Na Florah Koech MAMIA ya wagonjwa katika Kaunti ya Baringo wamemiminika katika hospitali ya kimisheni eneo la Eldama Ravine, baada ya...

Gavana wa Kiambu awajali wagonjwa

Na LAWRENCE ONGARO WAGONJWA wote waliokwama nyumbani katika Kaunti ya Kiambu na hasa wakongwe watapelekwa hospitalini na kutibiwa...

Madaktari na wauguzi wakaa ngumu wagonjwa wakifa

FARHIYA HUSSEIN, WINNIE ATIENO na ANGELINE OCHIENG WAHUDUMU wa afya na madaktari katika kaunti tofauti wameapa kuendeleza migomo yao...

Madaktari wa Cuba kutua nchini Mei 28 kuhudumia wagonjwa mashinani

Na CECIL ODONGO WIZARA ya Afya Jumatatu ilitia saini makubaliano kati yake na Baraza la Magavana kuhusu ushirikiano wa kiafya na kuweka...

Wagonjwa wanafariki tukitazama, serikali iwajibike – Madaktari

Na PETER MBURU MADAKTARI katika Hospitali ya Rufaa ya Nakuru Level Five wamekiri kuwa wagonjwa wamekuwa wakifariki humo kutokana na subira...

Hospitali ambako wagonjwa wanafariki ziadhibiwe – Mahakama

Na RICHARD MUNGUTI JAJI mmoja katika Mahakama Kuu amesema kwamba hospitali ambako wagonjwa wanafariki zinapaswa kuadhibiwa kwa kutokuwa na...