Mhadhiri mwenye miaka 25 anavyotetea haki za walemavu

Na DIANA MUTHEU AKIWA na miaka 25, John Lokuta Ewoi ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Ufundi cha Mombasa (TUM). Licha ya ulemavu wake...

Wahadhiri watishia kumshtaki Magoha

Na WANDERI KAMAU Chama cha Wahadhiri wa Vyuo Vikuu Kenya (UASU) kimetishia kuenda mahakamani kupinga pendekezo la kuunganishwa kwa vyuo...

2018: Mgomo wa siku 76 ulisambaratisha masomo ya wanafunzi 600,000

Na WANDERI KAMAU MWAKA huu utakuwa kama kumbukumbu kuu katika vyuo vikuu nchini, baada ya wahadhiri kushiriki katika mgomo uliodumu kwa...

FUNGUKA: Sihitaji urembo kunyaka wahadhiri chuoni na kuwalambisha asali nipite mitihani

Na Pauline Ongaji Ni ndoto ya kila mwanafunzi wa chuo kikuu kufanya vyema katika mtihani wake na hata kuhitimu. Na ni ndoto ambayo...

VITUKO UGHAIBUNI: Wanafunzi wanaotuonyesha mapaja wanatutesa – Mhadhiri

Na VALENTINE OBARA KAMPALA, UGANDA MHADHIRI wa kiume katika Chuo Kikuu cha Makerere amelaumu wanafunzi wa kike kwa kuwatia wahadhiri...

Polisi wanatumiwa kututishia – Wahadhiri

Na CECIL ODONGO VIONGOZI wa Muungano wa wahadhiri wa vyuo vikuu nchini (UASU) na Chama cha wafanyakazi wa vyuo hivyo (KUSU) wameshtumu...

#EndLecturersStrike: Kero mitandaoni wanachuo wakimsihi Uhuru asuluhishe mgomo

Na PETER MBURU WANAFUNZI wa vyuo vikuu vya umma nchini wametumia mitandao ya kijamii kuonyesha ghadhabu zao, wakinuia kumfikishia Rais...

Wahadhiri waapa kutumia njia zote kuendeleza mgomo wao

Na WANDERI KAMAU WAHADHIRI wa vyuo vikuu vya umma Jumatano waliapa kutumia njia mbadala kuendeleza mgomo wao baada ya maandamano...

Wahadhiri: Tutagoma hadi tupewe haki yetu

Na CECIL ODONGO VIONGOZI wa Miungano ya Vyama vya Wahadhiri na Wafanyakazi wa Vyuo Vikuu nchini Jumatatu walisisitiza kwamba mgomo wao...

Wahadhiri waagizwa kurejea kazini Jumatatu au wafutwe

Na OUMA WANZALA WASIMAMIZI wa vyuo vikuu nchini wametishia kuwachukulia hatua kali wahadhiri ikiwa hawatarejea kazini kufikia Jumatatu...

SHAIRI: Serikali tunaomba, muwalipe wahadhiri

Na KULEI SEREM Wahadhiri nina  swali, mtagoma hadi  lini?, Ni kama hamtujali, sasa twaenda nyumbani, Kweli mbaya zetu hali, tumekosa...