Waislamu waenda Saudia kwa Umrah

Na CECIL ODONGO BARAZA Kuu la Waislamu Nchini (SUPKEM) limeshukuru serikali ya Saudi Arabia kwa kufungua baadhi ya maeneo matakatifu ya...

Waislamu walaani MUHURI kuajiri ‘mtetezi wa mashoga’

Na FARHIYA HUSSEIN JAMII ya Waislamu nchini imeomba Baraza Kuu la Waislamu la Kenya (SUPKEM) liingilie kati kuhusu uamuzi wa shirika la...

Mombasa yatoa kanuni za sherehe za Idd kuzuia maambukizi

Na SIAGO CECE SERIKALI ya Kaunti ya Mombasa imetangaza masharti mapya ya kuzuia ueneaji wa virusi vya corona wakati Waislamu...

Waislamu waungana kupinga BBI

Na BENSON MATHEKA VIONGOZI wa dini ya Kiislamu wamesisitiza kauli yao ya awali kuwa mchakato wa kubadilisha katiba kupitia Mpango wa...

ALI HASSAN KAULENI: Sisi Waislamu tunazo sherehe zetu tunazopaswa kuadhimisha kwa misingi ya dini

Na ALI HASSAN Kwa jina la Mwenyezi Mungu mwenye kuneemesha neema kubwa kubwa na neema ndogo ndogo. Tumejaaliwa leo hii, siku hii kuu,...

Wito Waislamu wajihadhari na hafla za mazishi

Na LEONARD ONYANGO BARAZA Kuu la Waislamu nchini (Supkem), limewataka Waislamu nchini kuendelea kujihadhari wakati wa kuandaa miili ya...

Waislamu wengi wajitokeza Ijumaa ya mwisho Ramadhani

Na MOHAMED AHMED WAISLAMU wamejumuika katika misikiti mbalimbali humu nchini kwa ajili ya swala ya Ijumaa mwisho ya mwezi Mtukufu wa...

Sunni Anjuman wanavyoinua maisha ya Waislamu maskini

NA ABDULRAHMAN SHERIFF CHAMA cha Waislamu wa Sunni Anjuman kimeimarisha jitihada zake za kuinua hali ya maisha ya wakazi wa ukanda wa...

Waislamu wakosoa mbinu ya ugavi wa fedha za kaunti

Na CECIL ODONGO VIONGOZI wa Dini ya Kiislamu wamepinga mtindo mpya uliopendekezwa na Tume ya Ugavi wa mapato nchini (CRA) wa kugawa...

Utata kuhusu safari za Mecca Waislamu wakikosa paspoti

Na CECIL ODONGO ZAIDI YA Wakenya 2,000 waumini wa dini ya Kiislamu  huenda wakakosa kwenda Hijjah mjini Mecca  hata baada ya serikali...

Afueni kwa Waislamu tarehe ya kusafiri Mecca kusongeshwa

Na CECIL ODONGO Waislamu wametakiwa kutokuwa na hofu wala taharuki baada ya makataa ya kutimiza matakwa yote kusafiri kuenda kuhiji...

Waislamu watakiwa kutumia kondomu

[caption id="attachment_1494" align="aligncenter" width="800"] Mipira ya kujikinga dhidi ya magonjwa ya zinaa na Ukimwi almaarufu kondomu....