WAKILISHA: Kipaji chao ni kwa ajili yao na jamii pia

Na PAULINE ONGAJI WANAPANIA kuteka tasnia ya densi nchini Kenya; na bila Skysquad Dance Crew, wako mbioni kufikia ndoto hiyo. Tayari...

WAKILISHA: Atumia muziki kunyosha jamii

Na PAULINE ONGAJI ANATUMIA muziki kuangazia masuala yanayoikumba jamii yake na katika harakati hizo kusaidia kupata suluhu. Ni kazi...

WAKILISHA: Mshairi chipukizi ajongea jukwaani

Na PAULINE ONGAJI KATIKA umri wa miaka 12 pekee amejiundia jina katika nyanja ya ushairi, suala ambalo limezidi kummiminia sifa tele sio...

WAKILISHA: Apanda farasi wawili kwa ustadi mkuu

Na PAULINE ONGAJI LICHA ya kwamba anasomea sheria, anasisitiza kamwe hatolegeza jitihada zake za kutimiza ndoto ya kuwa...

WAKILISHA: Mfano bora kwa wenzake mtaani

Na PAULINE ONGAJI KATIKA umri mdogo wa miaka 15, yuko mbioni kuhakikisha kwamba anaorodheshwa miongoni mwa marapa wa kike wanaotamba sio...

WAKILISHA: Mchezo wa sarakasi wampaisha mtaani

Na PAULINE ONGAJI KATIKA eneo la Muthama, Waithaka mtaani Kawangware, jijini Nairobi, nyota amezaliwa. Naam, nyota wa sarakasi, Stacy...

WAKILISHA: Uchoraji pato na jukwaa kulea vipaji

Na PAULINE ONGAJI ANAJIUNDIA kipato kupitia uchoraji, suala ambalo limemwezesha kukidhi mahitaji yake huku akiendelea na masomo...

WAKILISHA: ‘Gavana’ mwenye umri mdogo zaidi

Na PAULINE ONGAJI KATIKA umri wa miaka 19 pekee anawakilisha vijana katika Kaunti ya Bomet, wadhifa alioupata mwaka 2018 akiwa na umri wa...

WAKILISHA: Mlezi wa vipaji vya usemaji na ulumbi

Na PAULINE ONGAJI AMEJITWIKA jukumu la kukuza vipaji vya usemaji na sanaa miongoni mwa vijana, katika harakati za kuwasaidia kujua jinsi...

WAKILISHA: Mtetezi wa mabinti dhidi ya ukeketaji

Na TOBBIE WEKESA UKEKETAJI wa mtoto wa kike si suala geni nchini Kenya. Kunazo baadhi ya jamii ambazo zingali zinaendeleza utamaduni huu...

WAKILISHA: Asambaza teknolojia mashinani

Na PAULINE ONGAJI AMEJITWIKA jukumu la kuhakikisha kwamba watoto na vijana katika sehemu za mashambani wanafikia teknolojia ya kisasa kama...

WAKILISHA: Ajikakamua kufukuza ujinga barani

Na PAULINE ONGAJI VIJANA wa Kiafrika wanaaminika kutokuwa na ari ya kusoma vitabu wakilinganishwa na wenzao kutoka sehemu zingine...