Wakulima wajitume kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi

Na SAMMY WAWERU MABADILIKO ya tabia nchi yanaendelea kuathiri mazingira, sekta ya kilimo ikihisi uzito wake kwa kiwango...

SENSA: Kuna wakulima milioni 6.4 pekee nchini

Na DIANA MUTHEU Kilimo ndio uti wa mgongo wa taifa letu lakini kulingana na ripoti moja, kati ya watu milioni 47.9  nchini, ni milioni...

AKILIMALI: Kilimomseto kinavyowafaa marafiki watatu

Na CHRIS ADUNGO MARAFIKI watatu, Esther Muthoni, Beth Wangare na Sophia Moochi walijitosa katika ulingo wa ukulima, na hasa upanzi wa...

AKILIMALI: Mashine za kisasa zinavyopiga jeki wakulima wadogowadogo kuimarisha mazao

Na RICHARD MAOSI JUHUDI za kuimarisha kiwango cha chakula kinachozalishwa humu nchini ni mojawapo ya ajenda za serikali kuu, na hali...

Wakulima wakasirishwa na upungufu wa mbolea

Na TITUS OMINDE WAKULIMA wa nafaka kutoka eneo la Kaskazini mwa Rift Valley wamelalamikia uhaba wa mbolea msimu huu wa...

Wakulima wote nchini kusajiliwa kuzima maajenti walaghai

Na STANELY KIMUGE SERIKALI itawasajili wakulima wote nchini, ili kuondoa mawakala ghushi katika sekta hiyo, amesema Waziri wa Kilimo,...