WANDERI KAMAU: Ni ukiukaji mkubwa wa katiba kudhalilisha walemavu, wasiojiweza

Na WANDERI KAMAU WALEMAVU ni miongoni mwa makundi yaliyotengwa katika jamii—sawa na vijana, wanawake na jamii zinazoishi katika maeneo...

Watoto walemavu zaidi ya 200 Mukuru wapigwa jeki kielimu baada ya Kenya Child Foundation Ireland kuwajengea kituo cha kisasa cha kusomea na kufanyiwa mazoezi ya viungo

Na SAMMY KIMATU NAIROBI WATOTO walemavu zaidi ya 200 katika maeneo ya Mukuru wamepigwa jeki kielimu na wafadhili kutoka nchini...

Kebs na Inable wazindua kanuni za kuwafaa walemavu kidijitali

Na WANGU KANURI WAKENYA wanaoishi na ulemavu pamoja na wale  wakongwe sasa wataweza kupokea huduma wanazotaka kidijitali za mawasiliano...

Wito kwa walemavu wajiunge na miradi ya maendeleo

Na SAMMY KIMATU NAIROBI WALEMAVU wameshauriwa kuungana kuanzisha vikundi vya miradi ya kutengeneza mapato ili wajiinue kiuchumi sawia...

Mhadhiri mwenye miaka 25 anavyotetea haki za walemavu

Na DIANA MUTHEU AKIWA na miaka 25, John Lokuta Ewoi ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Ufundi cha Mombasa (TUM). Licha ya ulemavu wake...

Wito serikali iweke vifaa muhimu kwa ajili ya walemavu katika karantini

Na MISHI GONGO WATU wanaoishi na ulemavu mjini Mombasa wameilamu serikali kuu na ile ya kaunti kwa kukosa kutenga vituo vya karantini...

SENSA: Walemavu wengi ni wanawake

Na PETER MBURU WANAWAKE wengi wako na ulemavu ikilinganishwa na wanaume, kulingana na ripoti ya sensa iliyofanywa 2019. Ripoti hiyo...

Walemavu Nakuru wanavyofurahia kucheza voliboli

NA RICHARD MAOSI Nakuru County Sitting Volleyball ni kikosi cha wachezaji wasiopungua 30 wanaocheza voliboli chini ya usimamizi wa...

Inatukera sana kuona hela zetu zikitafunwa na mafisadi – Walemavu

Na SAMMY KIMATU MAKUMI ya walemavu walikongamana katika ukumbi wa kanisa la Katoliki la Soweto kwenye mtaa wa Kayole ulio katika Kaunti...

Walemavu 10 Thika wapata viti vyenye magurudumu

Na LAWRENCE ONGARO WALEMAVU wapatao 10 kutoka eneo la Kilimambogo, Thika Mashariki wamenufaika kwa kupata viti vya kuwezesha mwendo...

Diwani ailaani serikali ya kaunti kuwanyima walemavu ajira

Na GEORGE MUNENE UONGOZI wa serikali ya Kaunti ya Embu Jumanne ulikashifiwa kwa kutowapa walemavu ajira huku ikibainika hakuna hata...

Kenya yavuna medali za dhahabu mashindano ya Olimpiki kwa wenye ulemavu UAE

Na GEOFFREY ANENE KENYA imezoa medali mbili za dhahabu Jumamosi katika mashindano ya Olimpiki kwa watu wenye ulemavu yanayoendelea...