Sofapaka yamtimua Waliaula baada ya Ssimbwa kujiuzulu

Na CHRIS ADUNGO SIKU moja baada ya kocha mkuu Sam Ssimbwa kujiuzulu, Sofapaka Jumanne imempiga kalamu meneja wa timu hiyo Willis...