Fujo shuleni: Walimu wakuu Nyandarua kushtakiwa

Na KENYA NEWS AGENCY MKURUGENZI wa Elimu Kaunti ya Nyandarua Philip Wambua amewaonya walimu wakuu kwamba watashtakiwa ikiwa washindwa...

Hofu idadi ya walimu wanaokufa karibu na maeneo ya chang’aa ikiongezeka

Na Wycliffe Nyaberi VISA vya walimu kupatikana wamekufa katika hali ya kutatanisha karibu na maeneo ya kuuza pombe aina ya chang’aa...

WABUNGE waisuta TSC kwa kubebesha walimu mzigo wa mafunzo ya ziada

Na CHARLES WASONGA WABUNGE Jumanne jioni walipinga vikali mpango wa Tume ya Huduma za Walimu (TSC) ya kuwataka walimu kulipa Sh6,000...

TAHARIRI: Serikali isilazimishe walimu kusoma tena

NA MHARIRI WAKUU wa vyama vya kutetea walimu nchini ni wasaliti kwa kukubali kuingia katika mkataba ya kuwataka walimu waongezee masomo...

Kanuni mpya kwa walimu wa nyanjani

Na FAITH NYAMAI TUME ya Kuwaajiri Walimu (TSC) imetoa masharti ya ajira kwa nyadhifa 1,995 za walimu walio kwenye mpango wa mafunzo ya...

Walimu hatarini kukosa nyongeza ya mishahara

Na FAITH NYAMAI WALIMU kote nchini huenda wakakosa nyongeza ya kila mwaka ya mishahara yao pamoja na kupandishwa kwa baadhi ya vyeo...

Walimu sasa walia, wataka nyongeza mpya ya mshahara

Na ERIC MATARA CHAMA cha walimU (Knut), kinataka Tume ya Huduma ya Walimu (TSC), kuharakisha mazungumzo kuhusu makubaliano ya pamoja...

Walimu waililia serikali iwalinde dhidi ya ugaidi

Na Manase Otsialo CHAMA cha Walimu nchini (KNUT) kimeitaka serikali ihakikishe usalama unaimarishwa Kaunti ya Mandera ili masomo yarejee...

Serikali yatakiwa kuwapa walimu ulinzi wa kutosha

EVANS KIPKURA na STEVE NJUGUNA MUUNGANO wa walimu nchini umetoa wito kwa serikali kurejesha amani katika kaunti za Bonde la Ufa ambazo...

Walimu watahudumu miaka 10 kabla ya kuajiriwa – TSC

NA KITAVI MUTUA WALIMU wanaopewa kazi ya kandarasi na Tume ya TSC sasa watatumika kwa miaka 10 kabla ya kuajiriwa kikamilifu. Hii ni...

Saidieni shule za kibinafsi zisifilisike, Magoha awarai wazazi

WIZARA ya Elimu imewarai wazazi wenye uwezo kifedha kuwasaidia walimu wa shule za kibinafsi, ili shule hizo zisifilisike kutokana na janga...

Walimu wote kupimwa kabla ya shule kufunguliwa

Na GEORGE MUNENE WALIMU wote watapimwa virusi vya corona kabla ya shule kufunguliwa kama sehemu ya juhudi za kuzuia kuenea kwa ugonjwa...