WALLAH BIN WALLAH: Tumia Kiswahili kujinyanyua kimaisha, usilaze damu aisee!

NA WALLAH BIN WALLAH KILA kitu kinatafutwa papa hapa duniani. Ukikosa kukipata unachokitaka, usiseme hakipo au hakipatikani ama...

WALLAH BIN WALLAH: Jichunge, asilani usijigeuze ng’ombe wa kuchungwa

NA WALLAH BIN WALLAH UNAPOAMBIWA chunga usifikirie tu kitendo cha kuwapeleka wanyama malishoni! Ama usidhanie ni kuchukua chungio au...

Wallah Bin Wallah aikejeli KICD kuruhusu mategu vitabuni

Na DENNIS LUBANGA MWANDISHI wa vitabu vya Kiswahili Wallah Bin Wallah amewaondolea lawama waandishi na wachapishaji wa vitabu, kutokana...

WALLAH BIN WALLAH: Guru mfia lugha anayeyabeba majukumu ya asasi za serikali

Na CHRIS ADUNGO TUNAPOVUTA taswira ya safari ya makuzi ya Kiswahili katika kipindi cha miongo mitatu iliyopita, hapana shaka kwamba...