Wanafunzi wana kiu ya kuelewa mimba, hedhi na magonjwa ya zinaa – Utafiti

Na LEONARD ONYANGO IDADI kubwa ya vijana wanataka elimu kuhusu afya ya uzazi kufundishwa shuleni na vyuoni. Utafiti uliofanywa na...

Wanafunzi 2 wafa shuleni katika hali tatanishi

STEPHEN MUNYIRI na VICTOR RABALLA MWANAFUNZI wa Kidato cha Nne katika Shule ya Upili ya Wavulana ya Ruthagati iliyo eneo la Mathira...

Nauli maradufu zawatatiza wanafunzi wakirudi shuleni

Na WAANDISHI WETU WAZAZI Alhamisi walitatizika kuwapeleka watoto wao shuleni licha ya walimu kufutilia mbali mgomo wao walivyoagizwa na...

Askofu apendekeza shule za mseto pekee nchini

Na STEVE NJUGUNA Askofu wa dayosisi ya Nyahururu ya kanisa Katoliki anataka shule za wanafunzi wa jinsia moja nchini zifungwe na badala...

WAMALWA: Ipo haja ya kuweka vigezo maalum vya kufuzu kutoka daraja moja hadi jingine

NA STEPHEN WAMALWA WIZARA ya Elimu nchini inahitaji kulishughulikia kwa dharura suala la kuwepo kwa vigezo vya kutegemewa vya...

Masharti makali yatolewa kulinda wanafunzi tamashani

Na IRENE MUGO MABASI yanayosafirisha wanafunzi kuhudhuria mashindano ya kitaifa ya muziki yanayoendelea katika Kaunti ya Nyeri...

TAHARIRI: Tusikubali madereva watumalizie watoto

NA MHARIRI WANASEMA ajali haina kinga wala kafara, lakini kuna ajali ambazo zinaweza kuzuiwa kama tungekuwa makini na kuzingatia...

Hasira na majonzi dereva kuhepa baada ya kuua wanafunzi 10

Na WANDISHI WETU HASIRA na majonzi zilitanda Jumapili kwenye kisa ambapo dereva wa trela alijaribu kutoroka baada ya kusababisha ajali...

Wanafunzi watundu watajua hawajui – Belio Kipsang

Na LUCY KILALO SERIKALI imeshikilia msimamo wake mkali kuwa wanafunzi wanaojihusisha na migomo hasa uharibifu wa mali lazima waadhibiwe...

Wanafunzi wakorofi shuleni kunyimwa nafasi za ajira wakihitimu

Na CHARLES WASONGA REKODI za nidhamu za wanafunzi wanapokuwa shuleni kuanzia msingi hadi chuo kikuu zitaanza kutumika katika utoaji wa...

Walimu wanaochochea wanafunzi kugoma waonywa

Na MUNEENI MUTHUSI SUALA la baadhi ya walimu kuchochea migomo miongoni mwa wanafunzi shuleni liliangaziwa pakubwa hapo Jumatatu katika...

Aibu kwa viongozi wa Laikipia wanafunzi kutumia mawe kama madawati

NA PETER MBURU WAKENYA wameshuhudia baraka na maafa mengi kwa watu, mifugo na maeneo mbalimbali nchini katika msimu wa mvua mwezi...